Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

Ni vizuri sana kwa watanzania kutoandama. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Tunamshukuru Allah kwa amani katika miji yetu.
Mkuu kwani wewe ni yupi hapa:

Screenshot_20230322-230708.jpg
 
mmesomewa report na CAG mmeona jinsi kodi zenu zinatafunwa ila hamchukui hatua watu wamebaki kuwa washangiliaji wa maandamano ya kenya.
Onyesha ripoti ya CAG ya Kenya tuone Kama hakuna pesa iliyotafunwa, juzi naibu rais wao alisema mabilioni ya pesa yalihamishwa ndani ya dakika 26 na utawala wa uhuru Kenyatta siku chache kabla ya uchaguzi, nini kilifanyika.

Kinachoonekana ni lile kundi lililokua likishabikia siasa za Kenya kwamba Kuna demokrasia na uhuru wa kujieleza, Sasa wamevuliwa nguo baada ya kuthibitika kwamba yote waliyokua wakishabikia sio kweli, hivi Sasa wanajaribu kupoteza lengo kwa kutumia ripoti ya CAG, miaka yote ripoti ya CAG inaripoti upotevu wa fedha ikiwa ni Kama njia ya serikali kujitathimini, kwani CAG ni nini Kama sio serikali yenyewe?
 
Kwa ile ripoti ya CAG jana na ule msimamo laini wa Samia baada ya pale, kazi ilibaki kwetu watanzania kuamua kuwaondoa wezi wote na chama chao madarakani, lakini bahati mbaya...

Inawezekana Samia anaujua ujinga wetu ndio maana sasa anatusukumia mizigo ya serikali yake, sababu anatujua "makondoo" hatutafanya chochote!.
Magufuli alipokua akichukua msimamo mkali juu ya wezi na walarushwa mlikua mkipiga kelele kwamba ni dictator hafai kuongoza nchi, mama Samia akiongoza kwa upole mnasema hafai kuongoza nchi aondolewe madarakani, inaonekana lengo lako kuu ni kuiondoa serikali iliyoko madarakani kwa aina yoyote Ile Kama lilivyo lengo la Raila Odinga, kamwe hutofanikiwa.
 
Onyesha ripoti ya CAG ya Kenya tuone Kama hakuna pesa iliyotafunwa, juzi naibu rais wao alisema mabilioni ya pesa yalihamishwa ndani ya dakika 26 na utawala wa uhuru Kenyatta siku chache kabla ya uchaguzi, nini kilifanyika.

Kinachoonekana ni lile kundi lililokua likishabikia siasa za Kenya kwamba Kuna demokrasia na uhuru wa kujieleza, Sasa wamevuliwa nguo baada ya kuthibitika kwamba yote waliyokua wakishabikia sio kweli, hivi Sasa wanajaribu kupoteza lengo kwa kutumia ripoti ya CAG, miaka yote ripoti ya CAG inaripoti upotevu wa fedha ikiwa ni Kama njia ya serikali kujitathimini, kwani CAG ni nini Kama sio serikali yenyewe?
Shuhulika na nchi yako. Wakenya wanapambania yao.
Watz bado hawajawa binadamu sawa-sawa.
 
Binadamu ni wale ambao Kila siku wanapigana risasi na kuuana Kama wanyama, ni wale ambao wanazidiwa hata na kuku katika kujitafutia chakula hatimae wanakufa kwa njaa.
 
Binadamu ni wale wanapigwa tozo za kufa mtu alafu zinapigwa na wajanja wachache as per CAG report alafu kutwa wapo busy kufatilia maisha ya wakenya.
 
Tozo zinazokwenda kujenga madarasa, au mabilioni yanayochukuliwa ndani ya dakika 26 na kuingia mifukoni mwa watu binafsi, kipi nafuu?.

Watu wanauliwa na majangili huko Samburu lakini serikali imeshindwa kabisa kulinda raia wake, polisi wanaua raia wenye kuandamana kwa amani bila sababu za msingi.

Tozo na uhai, kipi muhimu?
 
Nafuu ni invoice ya ndege ya ATCL kuongezwa cha juu kwa zaidi ya 100%
 
Back
Top Bottom