- Thread starter
- #41
Mkuu kwani wewe ni yupi hapa:Ni vizuri sana kwa watanzania kutoandama. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Tunamshukuru Allah kwa amani katika miji yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wewe ni yupi hapa:Ni vizuri sana kwa watanzania kutoandama. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Tunamshukuru Allah kwa amani katika miji yetu.
Onyesha ripoti ya CAG ya Kenya tuone Kama hakuna pesa iliyotafunwa, juzi naibu rais wao alisema mabilioni ya pesa yalihamishwa ndani ya dakika 26 na utawala wa uhuru Kenyatta siku chache kabla ya uchaguzi, nini kilifanyika.mmesomewa report na CAG mmeona jinsi kodi zenu zinatafunwa ila hamchukui hatua watu wamebaki kuwa washangiliaji wa maandamano ya kenya.
Magufuli alipokua akichukua msimamo mkali juu ya wezi na walarushwa mlikua mkipiga kelele kwamba ni dictator hafai kuongoza nchi, mama Samia akiongoza kwa upole mnasema hafai kuongoza nchi aondolewe madarakani, inaonekana lengo lako kuu ni kuiondoa serikali iliyoko madarakani kwa aina yoyote Ile Kama lilivyo lengo la Raila Odinga, kamwe hutofanikiwa.Kwa ile ripoti ya CAG jana na ule msimamo laini wa Samia baada ya pale, kazi ilibaki kwetu watanzania kuamua kuwaondoa wezi wote na chama chao madarakani, lakini bahati mbaya...
Inawezekana Samia anaujua ujinga wetu ndio maana sasa anatusukumia mizigo ya serikali yake, sababu anatujua "makondoo" hatutafanya chochote!.
Shuhulika na nchi yako. Wakenya wanapambania yao.Onyesha ripoti ya CAG ya Kenya tuone Kama hakuna pesa iliyotafunwa, juzi naibu rais wao alisema mabilioni ya pesa yalihamishwa ndani ya dakika 26 na utawala wa uhuru Kenyatta siku chache kabla ya uchaguzi, nini kilifanyika.
Kinachoonekana ni lile kundi lililokua likishabikia siasa za Kenya kwamba Kuna demokrasia na uhuru wa kujieleza, Sasa wamevuliwa nguo baada ya kuthibitika kwamba yote waliyokua wakishabikia sio kweli, hivi Sasa wanajaribu kupoteza lengo kwa kutumia ripoti ya CAG, miaka yote ripoti ya CAG inaripoti upotevu wa fedha ikiwa ni Kama njia ya serikali kujitathimini, kwani CAG ni nini Kama sio serikali yenyewe?
Binadamu ni wale ambao Kila siku wanapigana risasi na kuuana Kama wanyama, ni wale ambao wanazidiwa hata na kuku katika kujitafutia chakula hatimae wanakufa kwa njaa.Shuhulika na nchi yako. Wakenya wanapambania yao.
Watz bado hawajawa binadamu sawa-sawa.
Binadamu ni wale ambao Kila siku wanapigana risasi na kuuana Kama wanyama, ni wale ambao wanazidiwa hata na kuku katika kujitafutia chakula hatimae wanakufa kwa njaa.
Kwa hiyo na wewe bado hujawa binadamu sawa sawa?😂...Watz bado hawajawa binadamu sawa-sawa.
Tozo zinazokwenda kujenga madarasa, au mabilioni yanayochukuliwa ndani ya dakika 26 na kuingia mifukoni mwa watu binafsi, kipi nafuu?.Binadamu ni wale wanapigwa tozo za kufa mtu alafu zinapigwa na wajanja wachache as per CAG report alafu kutwa wapo busy kufatilia maisha ya wakenya.
Wapinzani uchwara hao, wamekosa la kushabikia baada ya nchi waliyokua wanaiga mfano wake kugundua kwamba huko ndio hovyo kabisa.Kwa hiyo na wewe bado hujawa binadamu sawa sawa?[emoji23]
Nafuu ni invoice ya ndege ya ATCL kuongezwa cha juu kwa zaidi ya 100%Tozo zinazokwenda kujenga madarasa, au mabilioni yanayochukuliwa ndani ya dakika 26 na kuingia mifukoni mwa watu binafsi, kipi nafuu?.
Watu wanauliwa na majangili huko Samburu lakini serikali imeshindwa kabisa kulinda raia wake, polisi wanaua raia wenye kuandamana kwa amani bila sababu za msingi.
Tozo na uhai, kipi muhimu?
Nafuu ni huu uhuniNafuu ni invoice ya ndege ya ATCL kuongezwa cha juu kwa zaidi ya 100%
Nafuu ni huu uhuni
Poleni sana majirani kwa kutumika...
Mambuzi mnafanyaje?Ng'ombe wanalamba asali
Nafuu ni invoice ya ndege ya ATCL kuongezwa cha juu kwa zaidi ya 100%