Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Bunge liko wapi, wao ndio wanaoipa pesa serikali na miradi yote hiyo, wanatakiwa kulazimisha na kuwaita wote waliohusika na kuwahoji hadharani waseme pesa imetumikaje, wana report zote za CAG, Takururu na mikataba yote, sijui kwanini hawafanyi kazi yao?Kwa ile ripoti ya CAG jana na ule msimamo laini wa Samia baada ya pale, kazi ilibaki kwetu watanzania kuamua kuwaondoa wezi wote na chama chao madarakani, lakini bahati mbaya...
Inawezekana Samia anaujua ujinga wetu ndio maana sasa anatusukumia mizigo ya serikali yake, sababu anatujua "makondoo" hatutafanya chochote!.