Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

Bunge liko wapi, wao ndio wanaoipa pesa serikali na miradi yote hiyo, wanatakiwa kulazimisha na kuwaita wote waliohusika na kuwahoji hadharani waseme pesa imetumikaje, wana report zote za CAG, Takururu na mikataba yote, sijui kwanini hawafanyi kazi yao?
 
Palikuwa na uzi humu:

Tunapolalama badala ya kuwakomalia wezi wetu
 

Palikuwa na uzi wenye kuliangazia hilo:

Tunapolalama badala ya kuwakomalia wezi wetu

Zingatia hawa ni wale wale. Hawawezi kuwajibishana.

Hawa ni wa kufurusha.
 
Na imagine Yule mashavu CAG ndo angekua wa Kenya baada ya kutoa iyo ripoti ikulu ingetiwa kibiriti
 
Matanzania mengi ni majinga

Hata hawa ni watanzania:

Your browser is not able to display this video.


Ukiona vyaelea vimeundwa.

Kwa mawazo kama Yako huoni ni sawa na kutaka kuvuna usipo panda?
 
Waandishi wa habari walikuwa kwenye gari hili:

Your browser is not able to display this video.


Tusipende kutaka kuvuna tusipopanda.
 
Ni vizuri sana kwa watanzania kutoandama. Sifa zote njema zinamstahiki Allah. Tunamshukuru Allah kwa amani katika miji yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…