Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Ramadhani masanja, mwalimu wa walimu, ticha wa maticha, mzee wa sinza kwa wajanja.

Alikuwa fundi haswaa, kipaji maridhawa kabisa.. Anaimba, anarap, mtunzi wa tungo matata kabisa, ni bora sana huyu jamaa, katika playlist yangu.
1.mtu pesa
2.elimu ya mjinga
3.mwenye kwenu kwaheri
4.kumekucha
5.mtaji wa masikini

SUPERB kabisa.
 
Umepatia mwana πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…