Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Mkuu Ally Choki yupo mzima, amefufua bendi yake ya Extra Bongo,Halafu sasa cha kushangaza wasanii wa siku hizi ndio wanatajirika. Hao kina banza na ally choki wamekufa maskini
Walijua kuimba kwa mafumbo, sio kama mziki wa vijana wa sasa wa matusi,Ally bado yupo... kwenye wimbo wa jirani ananifurahisha sana😂 kwamba akiomba kinu mpatie akiomba mchi mpatie
Banza si chochote si lolote.Vipi ndugu zangu.
Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:
1. Kisa cha mpemba.
2. Mwenye kwenu kwaheri.
3. Mtu pesa.
4. Aungurumapo Simba.
5. Mtaji wa masikini.
6. Elimu ya mjinga ni majungu.
Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.
RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Umenikumbusha mbali sana mkuu, dah... mzee wa Sinza kwa wajanja.Vipi ndugu zangu.
Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:
1. Kisa cha mpemba.
2. Mwenye kwenu kwaheri.
3. Mtu pesa.
4. Aungurumapo Simba.
5. Mtaji wa masikini.
6. Elimu ya mjinga ni majungu.
Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.
RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Hio radio one mzee baba mchana sikumbuki kipindi ganiHahaha
Namba 3 Banza alifanya zaidi ya muziki. Aliupanga wimbo wote, na akaacha wengine waimbe sana. Ni zaidi ya wimbo.Vipi ndugu zangu.
Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:
1. Kisa cha mpemba.
2. Mwenye kwenu kwaheri.
3. Mtu pesa.
4. Aungurumapo Simba.
5. Mtaji wa masikini.
6. Elimu ya mjinga ni majungu.
Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.
RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Wapi haujaelewa Chief?Unalenga kuzungumzia kitu gani mkuu, mbona kama hujaeleweka?