Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

Duuhhh Dunia ina vituko, wabongo nomaa
 
Happi anakitumia kilimo kumuweka karibu na mtawala ili siku yake ikifika akumbukwe, amegoma kuwa chawa mwepesi kama Lucas mwashambwa, yeye amejiongeza kidogo, kama hana shida vile.... kumbe anayo sana tu.
Ni assumption zako,mwenzako anapatankipato wewe usione umefika
 

Makosa gani ya ajabu alifanya!!? Mbona mnapenda kuhukumu watu kwa vitu vidogo sanaaa?!! Zile ni siasa kama siasa zingine tu yeye sio wa kwanza wala wa mwisho..
Bashe alimtukana kikwete waziwazi bado kuna kina chalamila yeye tena alisema Makamo anaweza kua mchawi akamroga Rais hapo unahisi alimlenga nani!! Mbona bado wamepewa uwongozi!!
Haya mambo bwana ni wakti tu ukifika utapewa uwo uteuzi havina fomula so acheni nongwa zisizo na sababu.
Hapi wakati wake upo jua hilo
 

Ali Hapi ni fisadi ,jizi ,anazuga na kilimo kumbe kipindi cha JIWE lilijikusanyia pesa za wizi sasa anazitakatisha kupitia kilimo....Kule Malindi Mbweni ana mtaa wake kabisa ameweka Mansion ya hatari hadi unajiuliza huyu Dogo amepata mabilioni wapi ya kujenga Mansion.
 
Maccm maisha hayaendi bila teuzi

Kabisa Kilimo ni kutakatisha pesa alizoiba kipindi cha JIWE...hapo ashapiga simu sana kuomba aingizwe kwenye list ya uteuzi ,ndiyo maana kwa kipindi hichi anapost clips za zamani akiwa anachukua hatua wakati alipokuwa RC/DC.
 
Happi hayupo kwenye teuzi mnamsema akiteuliwa pia mtamsema,acheni ugaigai wa kufafatilia maisha binafsi ya watu.
 
Happi
Makonda
Sabaya
Kheri James

Vijana wa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…