Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Maisha hayana formula, Chama si alienda huko leo yupo hapo bongo anaimba taarabuHuyu mzize.. atakuja kujutia kutochangamkia lile dili la uarabuni
Lakini alienda, alivyofeli akaangukia simba na yanga..Maisha hayana formula, Chama si alienda huko leo yupo hapo bongo anaimba taarabu
Aliumia akicheza game ya taifa. Je angeenda uarabuni asingeumia ?Huyu mzize.. atakuja kujutia kutochangamkia lile dili la uarabuni
Kwa mshahara anaolipwa Yanga kwa sasa, sio haba mkuu acha abaki.Huyu mzize.. atakuja kujutia kutochangamkia lile dili la uarabuni
Lakini alienda, alivyofeli akaangukia simba na yanga..
Unaona huyu akifeli ataangukia wapi kama sio singida big stars na azam au kina kmc na ndugu zake dodoma jiji..
Huyu mzize.. atakuja kujutia kutochangamkia lile dili la uarabuni
Kocha wetu mpiga miti atawaacha kweli?Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa idara ya matibabu imewakagua wachezaji hao kwa kina na kujiridhisha kuwa wapo tayari kuanza programu za mazoezi baada ya kuuguza majeraha yaliyoweweka nje kwa muda.
View attachment 3667404
Una uhakika ganiKwanza angekua uarabuni, hadi muda huu angekua uwanjani anasakata boli.
Kwamba haikwepeki mambaz 24Kocha wetu mpiga miti atawaacha kweli?
HakwepekiKwamba haikwepeki mambaz 24
Hakujifunza kwa kaka yake mrisjo ngasaKwanza angekua uarabuni, hadi muda huu angekua uwanjani anasakata boli.
Haya sawa, muda utasemaKwa mshahara anaolipwa Yanga kwa sasa, sio haba mkuu acha abaki.
Shida sio kuumia, ila kudajiliwa uarabinj kunaongeza thamani, angefeli kule simba na yanga zingeparurana, leo akifeli yanga ni mwendo wa singida ama kina kmcAliumia akicheza game ya taifa. Je angeenda uarabuni asingeumia ?
Hili pia nawaambiaga watu ukicheza huko kwa warabu thamani Yako inapanda maradufu. Sele mwalimu asingeenda wydad hata km angesajiliwa yanga au simba asingekuwa analipwa mshahara anaolipwa sasa! Msuva Toka ameenda uarabuni thamani imepanda sana mpaka simba na yanga Kila wakitaka kumsajili wanashindwa kufika dau. Wachezaji wetu wapambane waende kwa warabu na wahakikishe wanapata namba thamani Yao itapanda maradufu mfano mzuri ni mayeleShida sio kuumia, ila kudajiliwa uarabinj kunaongeza thamani, angefeli kule simba na yanga zingeparurana, leo akifeli yanga ni mwendo wa singida ama kina kmc
Mzize hakuumia timu ya taifa mkuu..rejesha kumbukumbu yakoAliumia akicheza game ya taifa. Je angeenda uarabuni asingeumia ?
Ukishatoka ligi yetu ukaenda nje ligi kubwa, lazima thamani ipandeHili pia nawaambiaga watu ukicheza huko kwa warabu thamani Yako inapanda maradufu. Sele mwalimu asingeenda wydad hata km angesajiliwa yanga au simba asingekuwa analipwa mshahara anaolipwa sasa! Msuva Toka ameenda uarabuni thamani imepanda sana mpaka simba na yanga Kila wakitaka kumsajili wanashindwa kufika dau. Wachezaji wetu wapambane waende kwa warabu na wahakikishe wanapata namba thamani Yao itapanda maradufu mfano mzuri ni mayele
Haukumuelewa huyo ostadhAliumia akicheza game ya taifa. Je angeenda uarabuni asingeumia ?