Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.

Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.

Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo

1739521829406.png
 
Ukweli mtupu,,aiwezekani timu Moja tu ndio iwe na makosa ya kibinadamu Kila mechi,,Kuna shida sehemu,,wao wampeleke but ujumbe umefika!
 
Sasa Hilo andiko la Ali Kamwe Lina shida Gani? Yeye katoa maoni yake kama mdau lilikuwa jukumu la wahusika ( Tff na bofi ya ligi) kutoa ufafanuzi na sio kuanza kutumia vitisho.
 
Kwa kumpa adhabu kisa kaongea ukweli ndiyo wameongeza petroli juu ya moto! Hili andiko litasambaa vizuri na kuwafikia walengwa! Haiwezekani mechi 15 penalty 14! Haiwezekani magoli yanayofungwa mengi yana utata! Haiwezekanai zinaongezwa dakika 6 match inachezwa mpaka dkk ya 113'
 
SIMBA BINGWA
 
Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.

Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.

Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo

SIMBA BINGWA
 
Dawa imeanza kuingia.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Haiwezekani timu moja ndio iwe inajitahidi kimataifa kuliko nyingine huku ni kubebwa wazi.
Timu nyingine tena zenye wachezaji wenye majina zinashia makundi tu
Inajitahidi kimataifa tuonyeshe ulichonacho mkononi? Mwenzako anayo medali ya mshindi wa pili kikombe icho ulichopo Tena kwa kufika fainali misimu miwili iliyopita wewe tuonyeshe kimataifa una nini ili tuone kweli unajitahidi kuliko mwenzako!
 
Kabisa.Yanga ilipata vidani vya kuendea kwenye mchiriku aka disco vumbi.Hao Simba kazi yao kupata mahela mengi na kuwa kwenye orodha ya timu bora Afrika tu.
 
Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.

Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.

Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo

ndio shida ya kusajili wazee. Huyo Ali Komwe angekuwa anaongoza ligi angeandika huu ujinga?
 
Sasa Hilo andiko la Ali Kamwe Lina shida Gani? Yeye katoa maoni yake kama mdau lilikuwa jukumu la wahusika ( Tff na bofi ya ligi) kutoa ufafanuzi na sio kuanza kutumia vitisho.
Kabisa! Kwanza inaonyesha alikuwa ana refer hiyo mijadala, sasa iweje kosa?
 
Back
Top Bottom