redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Katiba ya Nchi ambayo ndio sheria Mama kuliko kanuni zote za tahasisi na vikundi mbalimbali inatoa ruhusa kwa mtu kutoa maoni yake bila kukashfu au kuingilia uhuru wa mwingine.
Ally Kamwe ametoa maoni yake kama Mtanzania mwingine yoyote.
Kimsingi ameonge ukweli katika mambo yanayo tokea katika mpira wetu, Kuna mambo ya ajabu yanayo pelekea kuhoji ninkweli Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya nne kwa ubora Africa??
Kama Aina hii ya vituko vya waamuzi vinaifanya ligi hii kushika nafasi yanne je!! Ligi inayoshika namba 30 kwa ubora kwa apa Africa hali itakuaje?