Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ukweli mtupu,,aiwezekani timu Moja tu ndio iwe na makosa ya kibinadamu Kila mechi,,Kuna shida sehemu,,wao wampeleke but ujumbe umefika!Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
Fikiria tu Simba kacheza mechi 18 ...Labani og yana ukweli haya?
SIMBA BINGWAKwa kumpa adhabu kisa kaongea ukweli ndiyo wameongeza petroli juu ya moto! Hili andiko litasambaa vizuri na kuwafikia walengwa! Haiwezekani mechi 15 penalty 14! Haiwezekani magoli yanayofungwa mengi yana utata! Haiwezekanai zinaongezwa dakika 6 match inachezwa mpaka dkk ya 113'
SIMBA BINGWAAli Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
Haiwezekani timu moja ndio iwe inajitahidi kimataifa kuliko nyingine huku ni kubebwa wazi.Ukweli mtupu,,aiwezekani timu Moja tu ndio iwe na makosa ya kibinadamu Kila mechi,,Kuna shida sehemu,,wao wampeleke but ujumbe umefika!
Inajitahidi kimataifa tuonyeshe ulichonacho mkononi? Mwenzako anayo medali ya mshindi wa pili kikombe icho ulichopo Tena kwa kufika fainali misimu miwili iliyopita wewe tuonyeshe kimataifa una nini ili tuone kweli unajitahidi kuliko mwenzako!Haiwezekani timu moja ndio iwe inajitahidi kimataifa kuliko nyingine huku ni kubebwa wazi.
Timu nyingine tena zenye wachezaji wenye majina zinashia makundi tu
Kabisa.Yanga ilipata vidani vya kuendea kwenye mchiriku aka disco vumbi.Hao Simba kazi yao kupata mahela mengi na kuwa kwenye orodha ya timu bora Afrika tu.Inajitahidi kimataifa tuonyeshe ulichonacho mkononi? Mwenzako anayo medali ya mshindi wa pili kikombe icho ulichopo Tena kwa kufika fainali misimu miwili iliyopita wewe tuonyeshe kimataifa una nini ili tuone kweli unajitahidi kuliko mwenzako!
Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
Kabisa! Kwanza inaonyesha alikuwa ana refer hiyo mijadala, sasa iweje kosa?Sasa Hilo andiko la Ali Kamwe Lina shida Gani? Yeye katoa maoni yake kama mdau lilikuwa jukumu la wahusika ( Tff na bofi ya ligi) kutoa ufafanuzi na sio kuanza kutumia vitisho.