Kwanini isiwezekane kwani wewe una kipimo cha idadi ya penati kwa mechi 15? Labda kama huangalii mechi ila kama unafuatilia mpira utagundua timu ndogo huwa zinapoteza muda kijinga sana hata ndani ya hizo hizo nyongeza. Magoli ya utata yapo kwa ligi nzima na kwa timu zote ,mbaya zaidi mkibebwa nyinyi mnaona sawa.Kwa kumpa adhabu kisa kaongea ukweli ndiyo wameongeza petroli juu ya moto! Hili andiko litasambaa vizuri na kuwafikia walengwa! Haiwezekani mechi 15 penalty 14! Haiwezekani magoli yanayofungwa mengi yana utata! Haiwezekanai zinaongezwa dakika 6 match inachezwa mpaka dkk ya 113'
Maela mengi yapi? Unajua tofauti ya mashindano ya klabu bingwa na shirikisho? Kwa taarifa yako hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na nusu fainali ya shirikisho,,alafu mkwanja wa klabu bingwa hatua ya makundi ni sawa na mkwanja anaoupata yule aliyefika nusu fainali shirikisho upo hapo,,kwa maana iyo ayo maela unayosema ni yapi?Kabisa.Yanga ilipata vidani vya kuendea kwenye mchiriku aka disco vumbi.Hao Simba kazi yao kupata mahela mengi na kuwa kwenye orodha ya timu bora Afrika tu.
Si ndiyo hivyo!Ndiyo maana Yanga wamefika robo fainali mwaka huu 2025 na Simba hawakufika mara tano na hawakupata mahela.Nani kakubishia?Simba wapo namba 26 na Yanga ni wa 6 kwenye rakings za ubora.Simba ni wajinga tu.Maela mengi yapi? Unajua tofauti ya mashindano ya klabu bingwa na shirikisho? Kwa taarifa yako hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na nusu fainali ya shirikisho,,alafu mkwanja wa klabu bingwa hatua ya makundi ni sawa na mkwanja anaoupata yule aliyefika nusu fainali shirikisho upo hapo,,kwa maana iyo ayo maela unayosema ni yapi?
YANGA BINGWASIMBA BINGWA
Takwimu hazidanganyi, hakuna timu iliyopatiwa penalty nyingi kama 5imba, Takwimu zinaonyesha 5imba inabebwa kwa kiasi kikubwa, Ingekuwa huo utata upo kwa Ligi nzima tungeona timu zingine pia zikiwa na penalty hata 10 kila moja!Kwanini isiwezekane kwani wewe una kipimo cha idadi ya penati kwa mechi 15? Labda kama huangalii mechi ila kama unafuatilia mpira utagundua timu ndogo huwa zinapoteza muda kijinga sana hata ndani ya hizo hizo nyongeza. Magoli ya utata yapo kwa ligi nzima na kwa timu zote ,mbaya zaidi mkibebwa nyinyi mnaona sawa.
Timu kupata penati nyingi ndio kubebwa?Takwimu hazidanganyi, hakuna timu iliyopatiwa penalty nyingi kama 5imba, Takwimu zinaonyesha 5imba inabebwa kwa kiasi kikubwa, Ingekuwa huo utata upo kwa Ligi nzima tungeona timu zingine pia zikiwa na penalty hata 10 kila moja!
This boy is very stupid, nashangaa kwa nini alipewa kuongoza Mambo ya mpiraAli Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
Leta ushahidi wa kuonyesha penati walizopata simba hazikuwa sahihi na sio kutaka kuleta usawa . Penati zinatolewa kutokana na foul na sio eti mbona timu fulani ina penati nyingi. Mechi moja inaweza kutoa penati hata tano kama kuna foul za kuadhibu hivyo. Hakuna mambo ya usawa.Takwimu hazidanganyi, hakuna timu iliyopatiwa penalty nyingi kama 5imba, Takwimu zinaonyesha 5imba inabebwa kwa kiasi kikubwa, Ingekuwa huo utata upo kwa Ligi nzima tungeona timu zingine pia zikiwa na penalty hata 10 kila moja!
Inabidi sheria ya penati ifutwe, ziwe kona. Ila hata zikiwa kona bado watu watalalamika 😄Fikiria tu Simba kacheza mechi 18 ...
Kapata penalty 14
Haji manara alipotea ki mzaha mzaha nae njia ni moja!7Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
opolo Leo mmepewa penati mbili za maelekezo chura nyieFikiria tu Simba kacheza mechi 18 ...
Kapata penalty 14 [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Vipi mdhamini mmoja kudhamini team 6 si utakatishaji kwa utopolo iweze kuchukua league chura weweKatiba ya Nchi ambayo ndio sheria Mama kuliko kanuni zote za tahasisi na vikundi mbalimbali inatoa ruhusa kwa mtu kutoa maoni yake bila kukashfu au kuingilia uhuru wa mwingine.
Ally Kamwe ametoa maoni yake kama Mtanzania mwingine yoyote.
Kimsingi ameonge ukweli katika mambo yanayo tokea katika mpira wetu, Kuna mambo ya ajabu yanayo pelekea kuhoji ninkweli Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya nne kwa ubora Africa??
Kama Aina hii ya vituko vya waamuzi vinaifanya ligi hii kushika nafasi yanne je!! Ligi inayoshika namba 30 kwa ubora kwa apa Africa hali itakuaje?
Hao tff wana timu inayoitwa Kolo? Nani mwenye Locus stand kwenye hilo lalamiko?Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo
Mbona ukisoma hayo maelezo mi kama vile jiwe limerushwa gizani!! Kwenye haya maelezo yake naona ameitaja timu ya KOLO/MAKOLO! Kwani ndiyo timu gani hiyo!!! Halafu hakuna mahali ameitaja TFF! Isipokuwa umetajwa tu mpira wa Afrika!! Sasa hao waliomshataki wametumia kigezo kipi?Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na Maadili ya Viongozi na Maafisa wa Klabu ambayo yanadaiwa kuleta uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira.
Soma, Pia: Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"
Aidha pia Afisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Mazanzala nae amepelekwa kwenye Kamati kwa makosa hayo hayo.
Andiko la Ali Kamwe ambalo anatuhumiwa nalo