Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

Sasa Hilo andiko la Ali Kamwe Lina shida Gani? Yeye katoa maoni yake kama mdau lilikuwa jukumu la wahusika ( Tff na bofi ya ligi) kutoa ufafanuzi na sio kuanza kutumia vitisho.
Dogo kupelekwa Kamati ya Maadili maana yake akajieleze vizuri kwa ushahidi wa alichoandika. Akitoka ushahidi, hakuna kesi. Akikosa ushahidi inakula kwake!
 
Ninalioenda sana "Semaji la CAF". Lipo very professional. Sio kama wengine.
 
Ali kamwe afungiwe maisha
 
kwani hapa tatizo liko wapi? TFF wanajiabisha wenyewe. Je, vipi kuhusu yule msemaji wa Simba aliyekuja na kauli kuwa Simba inacheza mechi za Yanga. Je, amechukuliwa hatua gani kwa kukiri mwenyewe kuwa Simba huwa anafanya 'match fixing' kwa mechi za Yanga.
 
KWa hiyo penati hizo huwa zinatokea tu bila makosa ya timu pinzani ndani ya maguu 12?
Kwa nini usiisifu forwardline ya Simba kwa kufanya wapinzani kufanya makosa yanayopelekea penati kutokea ?
Takwimu hazidanganyi, hakuna timu iliyopatiwa penalty nyingi kama 5imba, Takwimu zinaonyesha 5imba inabebwa kwa kiasi kikubwa, Ingekuwa huo utata upo kwa Ligi nzima tungeona timu zingine pia zikiwa na penalty hata 10 kila moja!
 
Hamna kesi hapo
 
Sasa simba imefika robo fainali ya cafcl mara tano mfululizo wakati huo wewe hata makundi hukuwahi fika, kwahiyo hela alizopata huwezi fananisha na yanga iliyofika huko robo fainali mara moja, tatizo lenu mnapenda kukumbushia historia zenu tu ila simba wakikumbushia zao mnaleta nongwa
 
Kwa mujibu wa kanuni za ligi haruhusiwi
 
Wanamuoneaaa Kamwe....alichosema wangekijibu kwa hoja sio kumwita kumtisha yeye kwa mtazamo 2qk3 ameona vile kuna shida gani wakijibu ile hoja ?
 
Kamwe akiambiwa aoneshe penalty ambayo haikustahil kuwa penalty ataonesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…