ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mmeo ana hali ngumu sana jitahidi kuhamasishaNDYO TUPO BUSY ILA WANA SIMBA TUSISAHAU KUMPIGIA KURA BOULAYE DIA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndyo maana mnaitwa VINYESI nenda kwenye link uone Nani anaongoza unatutumia used sisi bin waheeed chura mkubwa wwMmeo ana hali ngumu sana jitahidi kuhamasishaView attachment 2377297
Yanga bwana sakho aliposhinda kiatu mkasema goal la mchongo kumbe mlikuwa mnaumia kimya kimya sasa hii ya mayele inaonyesha ni jinsi gani mna uchu mabingwa wa kihistoria.Mmeo ana hali ngumu sana jitahidi kuhamasishaView attachment 2377297
Hio nmeitoa wapi wewe mjane?Ndyo maana mnaitwa VINYESI nenda kwenye link uone Nani anaongoza unatutumia used sisi bin waheeed chura mkubwa ww
Kwahio na nyie mnaumia sasa hivi?Yanga bwana sakho aliposhinda kiatu mkasema goal la mchongo kumbe mlikuwa mnaumia kimya kimya sasa hii ya mayele inaonyesha ni jinsi gani mna uchu mabingwa wa kihistoria.
Kabla ya kuacha kuisema Simba au Yanga ukiwa kiongozi wa Simba au Yanga lazima kwanza utafute majibu ya maswali yafuatayo:Kwani huwezi promote timu yako bila kuwasema wengine? Hayo mambo ya kizamani ndio yanasabaisha watu wanatukanana bila sababu ya msingi kila mtu apambanie timu yake tuta taniana siku tukiwa na mechi inayo tukutanisha huwezi kua msemaji wa Yanga kila siku unaiongelea Simba huo ujinga wa wa Manara hatutaki
Acha kumtisha bhana, yeye pia ana namna yake ya usemaji hawezi kuwa kama Jerry au Haji.Kama Ali Kamwe hataki mpira huu wa kusemana kati ya Simba na Yanga, atafute timu ambayo iko baridi kidogo kama Azam, Ihefu, au Singida big stars, maana hatakubalika kabisa hapo Yanga.
Hatusemi awe Jerry au Manara mwingine, lakini utani (humor) wa simba na yanga hana ubavu wa kuuzika. Nimemshangaa eti anaomba radhi kwa kuisemea vizuri Yanga na kuisemea vibaya Simba. Utani wenu ni sehemu ya utamaduni wetu. Utani huu umefika ngazi zote za jamii kuazia mitaani, bungeni, mahakamani hadi Ikulu. Unatuunganisha, unatutambulisha na unatusahaulisha shida zetu kwa muda. Shida iko kwa wale ambao wanauchukulia utani huu kama uhasama kamili. Watu wasiotaniana ni rahisi sana kuuana kama vile Somalia, Ethiopia, Rwanda na kwinginekoAcha kumtisha bhana, yeye pia ana namna yake ya usemaji hawezi kuwa kama Jerry au Haji.