Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

Hizo ni siasa nyepesi, nilisema before hamna uwezo wa kugomea mechi, hamna mbongo anaweza gomes serikal ikitaka
 
Serikali haiwezi kuafford mechi isichezwe na Hersi hawezi kujiharibia ubunge. Hamuelewi kitu gani?
 
Matakwa gani, kuwa wajiudhuru? Imekula kwenu kenge ninyi mtacheza tuu
 
Derby bullshit...
Watu wazima kwa Kauli hio tu tunaelewa hapo mechi ipo

Press ijayo

"Hatimaye yale matakwa yetu tff wameyakubali na Sasa tutacheza mechi hio ya tarehe 15 hivyo nawaomba wanayanga wote kwa UMOJA twendeni kwa mkapa tukawafunge mdomo Hawa watani zetu"
 
Bodi gani sasa iyo iyo ambayo mna ipinga
 
Kesho atasema "tumekubali kucheza kwa makubaliano kuwa matakwa yetu yafanyiwe kazi kabla msimu ujao haujaanza".

Baada ya hapo Sa(20ร—5) mgeni rasmi mbungi inapigwa.

NRNE
 
Mpaka hapo mmeshasarenda....hizi nyingine ni bwebwe tu in kanjibah voice hahahaa
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Kuna kikao huko ila hii game ipo tarehe 15 hatupati hasara sisi kama mashabiki ๐Ÿ˜Žtutafurahi walahi ๐Ÿ˜€
 
Eti hatuchezi ng'o sasa nasema hivi mtacheza hata kwa mboko
 
Tutakubali kucheza, kisha tutazuia Simba tena kufanya mazoezi ya mwisho. Kisha tutasubiri maamuzi ya bodi kufuta mechi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ