Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Haya kacheze sasa wewe mchepuko wa Mangungu
Ipo wapi
Hakuna mwanaume ana kiherehere kama chako labda Uncle TBinti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
Mcheze, msicheze SIMBA BINGWA NBC LIGI 2024/2025“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Mcheze, msicheze SIMBA BINGWA NBC LIGI 2024/2025
Binti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanyaHakuna mwanaume ana kiherehere kama chako labda Uncle T
Oya wewe punga achana na mimi silagi wanaumeBinti hujui siasa za huu mpira wewe ni bint mdogo sana. Hersi anawatumia tu anawaacha ila anajua kuwa match tutacheza. Na nitarudi hapa kukukumbusha. Nyie wanawake huwa mnakuwa na mihemko sana. Sasa wanaume tunajua cha kufanya
Oya wewe punga achana na mimi silagi wanaume
Kumbe hadi hela ya ubingwa wa CRDB msimu uliopita Yanga haijapewa, hapa nina uhakika TFF wamewatia doa CRDB sizani kama wana uswahili huo CRDB. Mpira wa bongo una mambo mengi,sasa club haijalipwq vipi Top Scorer? Mchezaji bora wa hiyo michuano ya CRDB?,mpira bongo una mambo mengi sana.“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
Kwanini wasifanyiwe kana Yale ya mgomo wa madaktari yaliyo mkuta dr.ulimboka.“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.