Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

Kamwe alikuwa sahihi kulalamika. Kibabage ameteleza kama kambare, mpka kapewa tuta
 
Kuna muda kitu kinakukaa HAPA, na unaombea, yule umuombea mabaya limkute jambo ili hicho kilichokukaa kitoke. Unfortunately, anazidi kukijazilizia hicho kitu kizidi kukukaa HAPA. Mwishowe unazidi tu kupandwa na hasira.

Kwenye mamipira haya, kama huna uvumilivu kama Shabiki wa Arsenal, mapema sana, waweza kufa.
 
Back
Top Bottom