Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwanini usimlaumu?Hivi unawezaje kumlaum mtu ambaye kaja na pesa kuwekeza na kapewa taratibu Zote zinazohitajika na akazifuata!!.
Km unajua TFF n tatizo hizo lawama kwa GSM n za nini au chuki?, Tuache ujuha kwa mambo yaliyo wazi.
Anawezaje kwenda kuwekeza pesa nyingi sehemu ambayo anajua inaongozwa kwa kanuni na sheria ambazo zinapaswa kupitiwa ili kukamilisha mkataba?
Naposema TFF ni tatizo siishii hapo, naenda mbali nakusema hata GSM ni tatizo vile vile
Sasa wewe unataka tuongelee matatizo ya TFF na kuyafumbia macho matatizo ya GSM ndo kitu nacho kataa