Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Wapi uliona logo tofauti ya NBC au wewe umekatwa kichwa?WAKATI mwingine tumia kichwa kuwaza sio ushabiki!! Taasisi yoyote inakuwa na miiko na taratibu zake ktk kuendesha mambo, yanga ni taasisi na Moja ya miiko yake nikutokumia rangi nyekundu.
NBC ni taasisi km ni taasisi ina rangi zaidi ya Moja ambazo hutumia Pale wanapofanya biashara na mtu au taasisi nyingine, lengo nikutokuathiriana kibiashara kwa pamoja. Ndio maana hata kwenye hili suala yanga akawa na option yakuchagua rangi na kisheria ni haki yao kimsingi.
Ujinga wetu wtz tunaendekeza ushabiki and not facts.