Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi.

Ali Kamwe amesema,

"Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐™๐š๐ข๐๐ข .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni, usoni .. Wadada wa Yanga Rangi za kucha Jumamosi ni Njano na Kijani"

"Bilionea GSM ameandaa zawadi Maalum kwa Mwananchi atakayetokeleza ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐™๐š๐ข๐๐ข kwenye PACOME DAY.. Utapigwa picha na Wananchi watapiga Kura kuchagua mshindi"-Ali Kamwe

Nini maoni yako?

โœ๏ธ Mjanja M1
 
Kocha wenu alishawaambia muachane na hayo mambo ya kumkuza mchezaji mmoja, wakati uwanjani wako kumi na moja, naona Kamwe bado kichwa ngumu hamjamsikia.

Huu ushamba wenu hauwezi kamwe kuukuta Simba SC.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unajitoa fahamu na kujifanya umesahau Kibu Day na mkala mkono wa Nyani ile tarehe Tatu Malogo SC/11/2023.
 
Huyu dogo anapowapeleka sasa kubayaa, yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom