Ali Khamenei si kautaka mwenyewe? Siku chache alizobakiza hataamini jinsi atavyouawa na watu wake wa karibu kama ilivyokuwa kwa Ghadafi

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na Drone, Ndege za vita, bomu, n.k, Hao Israel wala asiwe na hofu nao, Bwana huyu atauawa kwa usaliti kama ilivyokuwa kwa Ghadaffi.

Gaddafi aliuwawa kwenye ngome yake kuu sehemu aliyozaliwa na kukulia

Gadafi alikuwa Bize kuimarisha ulinzi wake kwa kuhofia ndege za kivita za Marekani kumbe wauaji wake walikuwa karibu yake wamehongwa dollar za kutosha, wanasubiri amri ya Marekani kummaliza muda sahihi.

Aliuwawa na watu wake wa nyumbani kwake, Walibya wenzie, tena wakamtia visu vya kutosha.

Aliuliwa na WAASI wa jeshi lake yeye mwenyewe. Alisalitiwa hata na bodyguard wake wa mwisho

Israel imeshajipenyeza kwenye circle ya watu wa karibu sana wa Ali Khamenei, Ni suala la kusubiri muda sahihi
 
Sasa kama hata hujui gadaf aliuwawa vipi ..si bora ukae kimya tu
 
Wametoka kuufunga tu halafu drone ya Hezbollah imepenya bila kuwa detected na Iron dome wala THAAD.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
GOD BLESS ISRAEL
 
Cha msingi tu isijulikane nani kamuua kubaki fumbo ila huo mtihani Israeli utamlemea
 
Wewe punguani kweli eti Gadafi alikuwa busy kuimalisha ulinzi hujui lolote. iran wanatengeneza silaha wenyewe pia kuna demokrasia rais anapigiwa kura unaongeq fikra za kishoga.
 
kubali tu hujui Gadaffi alikufaje kufaje...unavyozidi kubisha ndo tunazidi kukuona mwehu
Nakumbuka gadafi alijificha kwenye kalvati akachomolewa kama panya bukuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wametoka kuufunga tu halafu drone ya Hezbollah imepenya bila kuwa detected na Iron dome wala THAAD.πŸ˜‚πŸ˜‚
Waacha weee. Hongera kwa Allah na mudy kufanikisha drone kupenyeza kwenye mfumo wa Thaad.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe.

Kwa hili Allah na Mudi wanastahili pongezi siyo mchezo kupenyeza drone kwenye anga teule.

Big up Allah na Mudi watu wa nguvu pamoja sana tuπŸ‘ŠπŸΏπŸ€œπŸΏπŸ€›πŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ’ͺ🏿

Malaria 2 gTurn

Nyau de adriz
 
Ukiwa unasikiliza sana na kukaa vijiweni bila kujiongeza kusoma yanayoendelea duniani basi matokeo yake ndio haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…