ukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na Drone, Ndege za vita, bomu, n.k, Hao Israel wala asiwe na hofu nao, Bwana huyu atauawa kwa usaliti kama ilivyokuwa kwa Ghadaffi.
Gaddafi aliuwawa kwenye ngome yake kuu sehemu aliyozaliwa na kukulia
Gadafi alikuwa Bize kuimarisha ulinzi wake kwa kuhofia ndege za kivita za Marekani kumbe wauaji wake walikuwa karibu yake wamehongwa dollar za kutosha, wanasubiri amri ya Marekani kummaliza muda sahihi.
Aliuwawa na watu wake wa nyumbani kwake, Walibya wenzie, tena wakamtia visu vya kutosha.
Aliuliwa na WAASI wa jeshi lake yeye mwenyewe. Alisalitiwa hata na bodyguard wake wa mwisho
Israel imeshajipenyeza kwenye circle ya watu wa karibu sana wa Ali Khamenei, Ni suala la kusubiri muda sahihi