dah ile clip iliwaogopesha marais wengi. We acha kabisa.Nakumbuka gadafi alijificha kwenye kalvati akachomolewa kama panya bukuππππ
Who is Mudi?Waacha weee. Hongera kwa Allah na mudy kufanikisha drone kupenyeza kwenye mfumo wa Thaad.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe.
Kwa hili Allah na Mudi wanastahili pongezi siyo mchezo kupenyeza drone kwenye anga teule.
Big up Allah na Mudi watu wa nguvu ππΏπ€πΏπ€πΏππΏπͺπΏπͺπΏ
Malaria 2 gTurn
Nyau de adriz
Mkuu lakini tuache utani Anti Ayatolah katika Iran ni wengi sana wanasubiri Chance tu.Ukiwa unasikiliza sana na kukaa vijiweni bila kujiongeza kusoma yanayoendelea duniani basi matokeo yake ndio haya
Acha kufananisha Iran na vitu vya ajabuukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na Drone, Ndege za vita, bomu, n.k, Hao Israel wala asiwe na hofu nao, Bwana huyu atauawa kwa usaliti kama ilivyokuwa kwa Ghadaffi.
Gaddafi aliuwawa kwenye ngome yake kuu sehemu aliyozaliwa na kukulia
Gadafi alikuwa Bize kuimarisha ulinzi wake kwa kuhofia ndege za kivita za Marekani kumbe wauaji wake walikuwa karibu yake wamehongwa dollar za kutosha, wanasubiri amri ya Marekani kummaliza muda sahihi.
Aliuwawa na watu wake wa nyumbani kwake, Walibya wenzie, tena wakamtia visu vya kutosha.
Aliuliwa na WAASI wa jeshi lake yeye mwenyewe. Alisalitiwa hata na bodyguard wake wa mwisho
Israel imeshajipenyeza kwenye circle ya watu wa karibu sana wa Ali Khamenei, Ni suala la kusubiri muda sahihi
Dunia inabadilika kila sikuMkuu lakini tuache utani Anti Ayatolah katika Iran ni wengi sana wanasubiri Chance tu.
Hata wale Wanawake na Wasichana wanaolazimishwa kuvaa Hijabu wasipovaa wanapigwa na kufungwa pia wana hasira sana na Ayatolah Regime.