Ali Khamenei si kautaka mwenyewe? Siku chache alizobakiza hataamini jinsi atavyouawa na watu wake wa karibu kama ilivyokuwa kwa Ghadafi

Ali Khamenei si kautaka mwenyewe? Siku chache alizobakiza hataamini jinsi atavyouawa na watu wake wa karibu kama ilivyokuwa kwa Ghadafi

Waacha weee. Hongera kwa Allah na mudy kufanikisha drone kupenyeza kwenye mfumo wa Thaad.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe.

Kwa hili Allah na Mudi wanastahili pongezi siyo mchezo kupenyeza drone kwenye anga teule.

Big up Allah na Mudi watu wa nguvu 👊🏿🤜🏿🤛🏿👌🏿💪🏿💪🏿

Malaria 2 gTurn

Nyau de adriz
Who is Mudi?
 
Ukiwa unasikiliza sana na kukaa vijiweni bila kujiongeza kusoma yanayoendelea duniani basi matokeo yake ndio haya
Mkuu lakini tuache utani Anti Ayatolah katika Iran ni wengi sana wanasubiri Chance tu.

Hata wale Wanawake na Wasichana wanaolazimishwa kuvaa Hijabu wasipovaa wanapigwa na kufungwa pia wana hasira sana na Ayatolah Regime.
 
ukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na Drone, Ndege za vita, bomu, n.k, Hao Israel wala asiwe na hofu nao, Bwana huyu atauawa kwa usaliti kama ilivyokuwa kwa Ghadaffi.

Gaddafi aliuwawa kwenye ngome yake kuu sehemu aliyozaliwa na kukulia

Gadafi alikuwa Bize kuimarisha ulinzi wake kwa kuhofia ndege za kivita za Marekani kumbe wauaji wake walikuwa karibu yake wamehongwa dollar za kutosha, wanasubiri amri ya Marekani kummaliza muda sahihi.

Aliuwawa na watu wake wa nyumbani kwake, Walibya wenzie, tena wakamtia visu vya kutosha.

Aliuliwa na WAASI wa jeshi lake yeye mwenyewe. Alisalitiwa hata na bodyguard wake wa mwisho

Israel imeshajipenyeza kwenye circle ya watu wa karibu sana wa Ali Khamenei, Ni suala la kusubiri muda sahihi
Acha kufananisha Iran na vitu vya ajabu
 
Mkuu lakini tuache utani Anti Ayatolah katika Iran ni wengi sana wanasubiri Chance tu.

Hata wale Wanawake na Wasichana wanaolazimishwa kuvaa Hijabu wasipovaa wanapigwa na kufungwa pia wana hasira sana na Ayatolah Regime.
Dunia inabadilika kila siku
Watu wwmevurugwa kila sehemu
Wala sikatai hayo ila kumbuka waliandamana lakini walidhibitiwa na wakauwawa wengi
Pia walianza kuangalia video za waandamanaji na kuchomolewa mmoja mmoja
Hata kama wakimuuwa kiongozi wao wa dini basi atasimikwa mwingine
Na siku wakiangusha utawala huo basi nakuhakikishia Jeshi ndio litashika

Hebu angalia ziara ya King Chaz na mke wake katika nchi za commonwealth wanavyomzomea na kusema You are not our King
Sasa ujue dunia inaenda kasi sana na mabadiliko tunayaona boss
 
Back
Top Bottom