Vyote ni haramu katika Uislamu. Sababu ndani yake kuna kuimba na kuna ala za muziki.N aya gani katika Qur'an imekataza mziki?
Qaswida dufu sio mziki ule?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote ni haramu katika Uislamu. Sababu ndani yake kuna kuimba na kuna ala za muziki.N aya gani katika Qur'an imekataza mziki?
Qaswida dufu sio mziki ule?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
View attachment 2039826
Sheria ya dini haipitwi na wakati huwa inatoka misingi ambayo hutumika wakati wote.Samahani Mkuu kwani miaka hiyo ya mtume kulikuwa na betting company kam ni Yes naomba uthibitisho Mkuu
#Asante sana
Kubet sawa na kulima tu( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )
المائدة (90) Al-Maaida
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Kulima huchezi kamari kwa maana unalima kwa kutumia nguvu huku jasho likikutiririka na huku ukitumia mbegu kwa maana unatarajia kupata mazao, aidha mengi ama haba. Lakini kubet unajua unamla mhindi au unaliwa direct.Kubet sawa na kulima tu
Ali Kiba alishafungua TV , sema hapendi show off , hajaamua kuifanya ionekane😆Ally lazma awe muungwana.Kinachokuwa kipo nje ya uwezo wake aseme tu.Hilo sina uwezo nalo mbona watu tutamuelewa?
Km vp afungue tv na redio hapo tutajua kuwa kwel kamari dini yet hairuhusu.Kukubali kushindwa ni uungwana pia.
😂 😂 😂 Kumbe ni mzee wa nini?Jamaa anajionaga mzee wa busara hatari😄😄
Tunazungumzia kukatazwa nyimbo kwenye Uislamu, niereply alichoandika mwingine. Hatupo kwenye betting bali uharamu wa muziku kiujumlaSamahani Mkuu kwani miaka hiyo ya mtume kulikuwa na betting company kam ni Yes naomba uthibitisho Mkuu
#Asante sana
Kwenye Dini ya Uislam, kuna Dhambi kubwa na ndogo. Hiyo kusema dhambi zote ni sawa, hakuna kubwa wala ndogo, sijui ni dini gani inasema hivyo ila sio Uislam.Uzuri ni kwamba dhambi zote ni Sawa hakuna kubwa wala ndogo kila Mtu apambane na haramu yake
"Hakika shetani anataka kutia Kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali .Basi je mtaacha ? (Qur'an 5:91)
Kho kho! Yaw yaw! Jeeshiiii[emoji23]Nachojua Ali kiba amesema Harmonize sio rafk yake na wala hajawah Ongea nae , ko mmakonde aache shobo Kwa king wetu