Ali Kiba ajifunze kwa huyu

Ali Kiba ajifunze kwa huyu

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hiv karibuni wakati Diamond akifanya press conference ya kuzindua tamasha lake la Wasafi Festival akaulizwa swali na mwandishi "Ali Kiba hivi atakuwepo?

Diamond akamjibu bifu hazisaidii kitu Kama tutakubaliana sawa anaweza kuwepo. Baada ya hayo Kiba akalipuka huko kwenye insta "mithili ya mtu aliyefumania mkewe akimegwa"

Leo hii nimeona video Wizkid akicomfirm kuwa atakuwepo kwenye tamasha la Wasafi huku akisema " nitakuwepo bro Diamond kwenye tamasha lako la Wasafi Dar-es-Salaam" Wizkid ni msanii mkubwa Mara 100 ya Kiba. Ni mtu anayejua biashara ya muziki na anaheshimu watu hata kama level yake ni kubwa lakini kakubali kufanya show kwenye tamasha la Diamond cos ni biashara.

Sio lazima Ali Kiba kukubali lakini kauli yake ya ovyo kwa mtu ambaye hajakutukana ni ujuha. Ulikuwa una uwezo wa kukataa bila ya kutoa kauli chafu kwa Diamond. Cha ajabu ana ego ya ovyo wakati Diamond kashamzidi level zaidi muda mrefu.

NB: imagine mtu Kama Wizkid yupo humble akiongelea Wasafi Festival japo kamzidi Diamond level wewe hata nusu ya level aliyonayo Diamond ujafika unavimba kiasi hicho je ungefika level ya Diamond tu ingekuaje?
 
NB: imagine mtu Kama Wizkid yupo humble akiongelea wasafi festival japo kamzidi diamond level wewe hata nusu ya level aliyonayo diamond ujafika unavimba kiasi hicho je ungefika level ya diamond tu ingekuaje?
Anakuja bure ?, its all about cash hata Lucifier akimuita if the price is right mtu atakwenda.., na hata malaika akimuita mtu kama ana mkono mtupu na haulambwi basi mtu atakuwa na emergency thus kushindwa kuja...
 
Mkuu umepotosha aliulizwa juu ya harmonise kuwepo kwenye tamasha hilo ndo na yeye kwenye kujibu akachomekea, akasema hata Ali atakuwepo pia
 
Sijaelewa point yako ni Nini?
 
Acha kupoteza muda kusifia domo, sifia magu uwe mkuu wa wilaya.
 
Mkuu umepotosha aliulizwa juu ya harmonise kuwepo kwenye tamasha hilo ndo na yeye kwenye kujibu akachomekea, akasema hata Ali atakuwepo pia
Hakusema kuwa atakuwepo...ila alisema meneja wake alifanya mawasiliano na Ali ili ikiwezekana awepo. Hakuzungumza as if imethibitishwa Ali atashiriki.
 
Hakusema kuwa atakuwepo...ila alisema meneja wake alifanya mawasiliano na Ali ili ikiwezekana awepo. Hakuzungumza as if imethibitishwa Ali atashiriki.
ulichokataa kitu gani?hakuna aliyemuulizia kiba pale ila yeye mond alichomekea tu.ndio hoja ya jamaa.
 
King kateleza na ataki ku transforms beef la maneno kuwa biashara mkuu.
 
Daaaaaah brother umeongea point hadi sio poa,mimi nashangaaga watu wanao mshindanisha diamond the king himself na visanii uchwara kama li kiba100 na harmonize yaani huwa naboeka kinyama daaaaaaah(DIAMOND,kamzodi kiba100 kila kitu kuanzaia heshima,hela,tuzo{mafanikio kiujumla,sema ni wivu na uzee ndo unamsumbua kiba100,maana hama fanikio lolote,Mara oooooooh Luna watu eti wananunua subscribers na followers...! Ahaaaaaaaah yaani baada yakuona amezidiwa followers na diamond pamoka na subscribers anaaanza kulalama atakufa kiholo ebooooooh liache}.)
 
ulichokataa kitu gani?hakuna aliyemuulizia kiba pale ila yeye mond alichomekea tu.ndio hoja ya jamaa.
Hata kama, ko kosa likuapi ...?wakati King diamond alikuwa anataka amsaidie yule mzee hela ya kulelea watoto wake 12 pamoja na mashosti zake wa kingmusic.
 
Back
Top Bottom