Hiv karibuni wakati Diamond akifanya press conference ya kuzindua tamasha lake la Wasafi Festival akaulizwa swali na mwandishi "Ali Kiba hivi atakuwepo?
Diamond akamjibu bifu hazisaidii kitu Kama tutakubaliana sawa anaweza kuwepo. Baada ya hayo Kiba akalipuka huko kwenye insta "mithili ya mtu aliyefumania mkewe akimegwa"
Leo hii nimeona video Wizkid akicomfirm kuwa atakuwepo kwenye tamasha la Wasafi huku akisema " nitakuwepo bro Diamond kwenye tamasha lako la Wasafi Dar-es-Salaam" Wizkid ni msanii mkubwa Mara 100 ya Kiba. Ni mtu anayejua biashara ya muziki na anaheshimu watu hata kama level yake ni kubwa lakini kakubali kufanya show kwenye tamasha la Diamond cos ni biashara.
Sio lazima Ali Kiba kukubali lakini kauli yake ya ovyo kwa mtu ambaye hajakutukana ni ujuha. Ulikuwa una uwezo wa kukataa bila ya kutoa kauli chafu kwa Diamond. Cha ajabu ana ego ya ovyo wakati Diamond kashamzidi level zaidi muda mrefu.
NB: imagine mtu Kama Wizkid yupo humble akiongelea Wasafi Festival japo kamzidi Diamond level wewe hata nusu ya level aliyonayo Diamond ujafika unavimba kiasi hicho je ungefika level ya Diamond tu ingekuaje?