Ali Kiba ajifunze kwa huyu

Hata kama, ko kosa likuapi ...?wakati King diamond alikuwa anataka amsaidie yule mzee hela ya kulelea watoto wake 12 pamoja na mashosti zake wa kingmusic.
angempa kimya kimya kama ana nia ya kumsaidia hata kodi ya nyumba.

hata hivyo bado ana wengi wa kuwasaidia kabla amfikie huyo.
 
Kila siku nakutana na uzi wa vijana wa mond wakimzodoa kiba. my question is always the same. Kama mond kamzidi kila kitu kiba, kwa nini mnahangaika na kukosa usingizi? Muwe wakweli mnaishi kimagumashi
 
Jamani hebu mwacheni kiba ana stress za kuachana na mkewe + kutoka rockstar na Sony music so hata meneja wake seven siku hizi sidhani kama kuna partnership tena hata juzi Seven alikataa kulizungumzia hilo so kunaonekana kuna ukakasi katika hili yani kiufupi TUWAKOME
 
Acha kupoteza muda kusifia domo, sifia magu uwe mkuu wa wilaya.
Aisee mkuu hiyo avatar yako hiyo? [emoji16][emoji16][emoji16] nilijua ni mdudu yupo kwenye screen ya sim yangu kumbe wapi
 
Hujui maana kabisa, Diamond alisema HAKUNA HAJA YA KUENDEKEZA BIFU ZA KIJINGA, means hawako sawa na Ally, sasa huyu Wiz kid anaingiaje? Kwani nae ana bifu na mond? Mond anajua kuna tatizo kati take na Ally, muacheni kila mmoja aishi maisha yake, kukataa kwa Ally hakumaanisha kuwa tamasha likose wasanii, WCB ifanye yake na Ally afanye yake, yes, kuna bifu hata kama mondi kasema la kishamba, KOMA.
 
Mwambie kwanza Diamond arudishe penseli ya watu ndio mengine yafuate.
 
Kwani yy kiba alikua aje Ku perform bure?….hakuna cha bure cku hiz mangi,unapewa chako then ndo u.anaenda kumpa support mwenzako kwenye tamasha lake,hata nandy na billnass wanatinduana kistail lkn billnass alilipwa ndo aka perform kwenye nandy festival
Anakuja bure ?, its all about cash hata Lucifier akimuita if the price is right mtu atakwenda.., na hata malaika akimuita mtu kama ana mkono mtupu na haulambwi basi mtu atakuwa na emergency thus kushindwa kuja...
 
unajua maana ya if the price is right..., kama hakwenda basi price was not right....
 
Acha kupoteza muda kusifia domo, sifia magu uwe mkuu wa wilaya.
hivi avatar yako chenga sana,nimehangaika namtoa mdudu nikajua yupo kwenye screen ya simu,hahahahaa kumbe ni DP yako
 
Ali kiba atakuwepo ila hapendi show off tukutane tar 9 atakuwepo pamoja na wakina abdu kiba full mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…