Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Thats mkuu
Umeena
 
Upinzani kwenye Kila kitu ili mtu update changamoto akili isilale, ila upinzani wa kilipumba lipumba ndio haufai kama huu wa kizimiana mic
 
We ka underperform? Ivi uliangalia short clip bideo ukaona watu walivyokuwa high na kiba? Nahisi hata huyo wizkid alijiuliza huyu kiba anaupepo gani?
Big up king kwa heshima uliyoweka japo wavimba macho hawakosi
If so kwann analeta sababu za kijinga? We are not saying kiba hakuperform vizuri au fans hawakumpenda no... tunachokataa n kumwingiza salam k kama mmoja wa watu waliosa babisha yeye aperform ordinary et kisa mic ilizmwana mzimaji akawa salam k.... this is non sense bro
 
We ka underperform? Ivi uliangalia short clip bideo ukaona watu walivyokuwa high na kiba? Nahisi hata huyo wizkid alijiuliza huyu kiba anaupepo gani?
Big up king kwa heshima uliyoweka japo wavimba macho hawakosi
Acha uongo ww video zipo zinaonyesha kabisa jamaa kaflop vbaya mno show kama yupo msibani ndo maana wakamzimia mic
 
Hahaha wonders shall never cease!
 


Kuna njama ambazo tayari zilisha kwisha sukwa kuharibu show ya Ali Kiba na kuna hela zilitolewa kabla na alipo enda Sk alienda kukamilisha malipo na waandaaji wa show hawajui chochote kama kuna uhuni ulio kuwa unaendelea!
Porojo!
 
Mbona anavisababu vya kitoto huyu inamaana wale walioandaa show ni wajinga mpka wamruhusu mtu asiejulikana amzimie mic msanii walie mlipa 150 mil kweli?

Labda mil 150 za Zimbambwe.
 
Daah nmekupenda bure ndugu yangu... yaan umeongea fact
Kiba ache kujichanganya bwana
Meneja wako kasema mengine na yeye kasema mengine heee naanza kuwa na wasiwasi na management yake piaa
Thankyu..
 
Kuwa na akili timamu management kubwa inakutanaje backstage kwan hakuna mawasiliano acheni uswahili huo
kiba anawanyima raha sana mara mnaaza kuimba vi freestyle sjui "mkiposti tembo si tunaposti show" afu jamaa hawajibu wala nn
Unajua ratiba zao zilikuwa fixed kiasi gani? Ushaambiwa CB alikuwa anaperform haraka asepe, Btw, ni lini kiba atahojiwa bila kumtaja Diamond? Ukipata jibu ndio utajua nani ni threat kwa mwenzake.

Ni lini Watz tutajifunza kuwa responsible on our own burden!? Hivi ukifeli ni lazima utafute wakumtwisha lawama. SMH!
 
Sunajua ka u team tena..... sema meneja nae hadi back stage
 
Kumbe hata wewe hujajua kwann watu tunamdisprove alikiba... and ur biased
 
Huu ni ujinga..meneja wa diamond alienda kufanya nini??!
We ni nani hata uulize swali la kipuuzi kama hili, unataka kila alifanyalo SK akutangazie wewe?
Lakini mnawezaje kufikiri Mendez anaweza kuzima Mic? Inawezekanaje? Access aliipataje? Hakukuwa na security? Hakukuwa na DJ?
Mambo hayafanyiki kiurahisi hivyo wandugu, eti mtu anyanyuke tu akazime Mic zisizomuhusu!
Muda mwingine huwa nafikiria JF nzima jukwaa hili ndilo lina watu wenye uwezo mdogo wakureason (nikiwemo na mimi)
Excuse my bitter words if any.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…