Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Mondi anafanya biashara ya mziki na kiba anafanya mziki apo tu tofauti,kiba acha kuishi kwa hisia.
 
Umenena kweli
 
pitia post zangu.. bty kufuatwa na nzi wengi haimaanishi umekunya mavi mengi...
Mimi sio muandishi wa ilepost by the way..But najua mtu akiandika kitu chenye content na akiandika mashudu. Being cocky is a sign of low self-esteem.
 
Katika siku ambazo nimemdharau na Kumchukia Alikiba ni leo...yaani yeye ameshajua hili bifu yeye ndiyo linampandisha...WCB wamemuacha Alikiba mbali sana..

Hivi anaelewa maana ya backstage?!Ali hajui ni nani anapaswa kukaa backsatage,video zote zinaonyesha ni wakti gani sallam alikuwa backstage,ni kuanzia festival imeanza mpaka imeisha sallam alikuwa nyuma ya Stage...Ndege ya Chrisbrown ilikuwa inamsubiri Breezy amalize show aondoke haraka!!!sallam angepata muda saa ngapi wa kuongea na management ya CB?!JIBU ni kwamba ilitakiwa amfate backstage!!

Hofu ya Ali iko wapi ikiwa kama meneja wake amekiri kwamba maiki ilizimwa na Waandaaji wenyewe ili kumpisha WizKid na CB wapafomu haraka ili Breezy awahi kuondoka na ndege yake...sasa kwanini Ali amlaumu sallam?!Halafu wakati Chrisbrown amepanda jukwaani umeme ulizimika ikabidi liwashwe generator...ina maana Sallam pia ndiye alizima umeme wakati CB anapaform?!

Nachukia sana watu wanaotaka wenzao wachukiwe ili wao WAPENDWE!!mara nyingi tumeshuhudia Ali akimwekea Chuki Diamond ili aendelee kusemwa na kusikika kwenye Media...na hii inamfanya Diamond aendelee kuwa Juu zaidi...Kumbe bila Diamond hakuna Alikiba

Hii inanifanya niamini kwamba kumbe WCB ni Brand kubwa Zaidi kuliko SONY MUSIC...
Kama msanii anayesimamiwa na Kampuni kubwa duniani ya SONY anamuogopa Meneja Uchwala tena Mtanzania Sallam sk basi ni dhahiri shahiri kwamba hiyo label haina manufaa kwake!!

Halafu show haikuwa ya Alikiba,mwenye show hasa ni Chrissbrown na WizKid...Alikiba alikuwa msindikizaji tu kama wasindikizaji wengine kina VANESSA.

Yeye alivamia show ya Diamond Mombasa na akapaform kabisaaa..lakini sikuwahi kusikia Diamond analalamika popote kwa sababu mwisho wa siku ile ni biashara na wote ni watanzania...kama Sallam ana roho mbaya kiasi hicho basi angemzimia Mic Alikiba siku ile wanapafomu jukwaa moja..

Afanye kazi...aache kulalama kama mwanamke Aliyebakwa!!Badala ya kuimba nyimbo za maana yeye ameenda kuimba MacMuga na Cinderella[emoji30][emoji30]kwanini watu wasimshushe?!
 
Nashindwa kumshangaa Kiba na washabiki wake, anaonesha live anajipambanisha na mtu anaejua hamuwezi, sasa kumuhusisha Sallam na kuzimwa mic;
Kweli mic ilizimika, ikawaje ashuke jukwaani? haikuwa kazi rahisi kuchukua mic nyingine tu aendelee kuperform?
Sio nzuri hyo kama taifa tunapaswa kuwa wamoja hasa tunapokuwa kwenye uso wa watu wa mataifa mengine kauli nyingine ni za kuharibiana.
CONFERMED: KIBA ana bifu na Diamond
 
Kibakuli anaangalia namna ya ntoke vipi. Hiv anafikiri watu wote ni wapuuzi hatuwez kung'amua mambo mpk adanganye umma na hizo fix.
Kwanza hata haelewek kutafuta kutetewa ss watu tunamuona uyu ndo mwanzilishi wa bifu hewa kati yake na mondi
 
Naanza kuuona uswahili wa kiba maana nilikuwa nabisha siku zote.
 
Non sense... kiba anaishiwaa[emoji23] [emoji23]
 
Anahaki ya kuzungumza dunia ya sasa yenye ushindani mkali hupaswi kumuamini mtu yangetokea ya papa wemba nani angewajibika kama msanii wako hayupo we unafatanini nyuma ya jukwaa
 
Hawa jamaa wote ni wachawi. Kiba ni mchawi hivyo ni rahisi kumjua mchawi mwenzie.

Anyway on serious note ... huyu manager wa Diamond alionekana backstage kwanini??

Kiba katia huruma sana anavyoongea hapo...
Salam n mdau mkubwa sana kwenye industry ya music both locally and internationally so kuuliza kwann alikua backstage nadhani na swali la kipuuzi,na kumbuka yeye hakua pekee ake backstage if so aliwezaje kufanya kiti kama iyo bwanaaaa aghhh ... kiba ache mambo ya kiswahili akajipangeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…