Ww ndio mswahili unayeshindwa kufikilisha bichwa lakoSikuwahi kufikiria kama meneja ya domo ana mambo ya kiswahili yaliyopitiliza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ndio mswahili unayeshindwa kufikilisha bichwa lakoSikuwahi kufikiria kama meneja ya domo ana mambo ya kiswahili yaliyopitiliza....
Sawa kiongozi umetumia uhuru wako....Ww ndio mswahili unayeshindwa kufikilisha bichwa lako
Umenena kweliKuna mambo mengine kama haya ndio huwa tunasema uswahili. Alikiba anashangaa meneja wa Diamond kukaa backstage, na eti anahoji kwa nini asingekaa VIP kama ishu ni kuona shoo. Hivyo kwa mtazamo wake yeye Alikiba anahisi meneja wa Diamond ndiye aliyezima Mic. Katika hali ya kawaida tu hivi inawezekana meneja wa Diamond akazima Mic kwenye hughuli isiyo yake? Anyway tuachane na uswahili wa Alikiba na pengine ndio maana anashindwa kufanya mambo makubwa katika muziki pamoja na ukongwe alionao katika muziki.
Kazi ya kuwa meneja wa mwanamziki ni kubwa sana kama unamua kujishughulisha na kuhakikisha mwanamziki wako unayemsimamia anafika mbali. Sote tunaelewa ni jinsi gani WCB walivyo wanzuri wa kutumia kila aina ya upenyo wanaopata katika kuhakikisha kazi zao zinafika mbali. Chris Brown kaja Kenya pamoja na uongozi wake, hivi mlitegemea Sallam akae tu ametulia, au akae VIP ametulia anangalia shoo badala ya kutengeneza contacts na uongozi wa Chris Brown? Hivi Alikiba anajua kweli namna connections na wasanii wa nje zinavyopatikana? Anajiuliza why Sallam akae backstage, heee sasa alifikiri Sallam ataongea na uongozi wa Chris Brown wapi? Mwenzake anahangaika kufanya connections na wasanii wakubwa yeye anakaa kufikiria kwamba mtu anaweza kusafiri kutoka Dar hadi Mombasa kwa ajili ya kwenda kuchomoa Mic. Huu ufinyu wa mawazo ndio unamfanya kila siku aishie kulalamika na kuhisi anahujumiwa. Leo tunapopewa ratiba ya tour ya Diamond na Neyo UK si kazi ambayo imefanyika kitoto, bali watu wametumia fursa na nafasi zinazojitokeza kuweza kutengeneza connections kama hizo. Au tumeshasahau ni namna gani Neyo na Diamond walikutana? Au hatujajua ni namna gani Diamond na Swiss Beats wamekutana?
Kifupi Alikiba ana safari ndefu ya kujifunza kuhusu namna ya kutafuta soko la muziki. Akiendelea kuwa na fikra mgando kama hizo ataishia kulalamika tu na mwishowe atashindwa kufanya vinzuri kwa sababu ya kutaka kushindana na Diamond. Mwenzake Diamond sasa hivi anafocus kwenye soko ya Ulaya maana Afrika ameshamaliza, America ameshaingia, ila yeye Alikiba anawaza kwamba mtu atapoteza hela zake kwenda Mombasa kuchomoa Mic. Daaah kweli tunatofautiana .
ngalia idadi ya like kwenye unachoita povu.. Jenga hojaWala huna haja ya kutoa povu lote hili... kibinaadamu hata ungekua wewe ungefikiri ndivyo sivyo.
pitia post zangu.. bty kufuatwa na nzi wengi haimaanishi umekunya mavi mengi...ngalia idadi ya like kwenye unachoita povu.. Jenga hoja
Mimi sio muandishi wa ilepost by the way..But najua mtu akiandika kitu chenye content na akiandika mashudu. Being cocky is a sign of low self-esteem.pitia post zangu.. bty kufuatwa na nzi wengi haimaanishi umekunya mavi mengi...
Naanza kuuona uswahili wa kiba maana nilikuwa nabisha siku zote.Nashindwa kumshangaa Kiba na washabiki wake, anaonesha live anajipambanisha na mtu anaejua hamuwezi, sasa kumuhusisha Sallam na kuzimwa mic;
Kweli mic ilizimika, ikawaje ashuke jukwaani? haikuwa kazi rahisi kuchukua mic nyingine tu aendelee kuperform?
Sio nzuri hyo kama taifa tunapaswa kuwa wamoja hasa tunapokuwa kwenye uso wa watu wa mataifa mengine kauli nyingine ni za kuharibiana.
CONFERMED: KIBA ana bifu na Diamond
Non sense... kiba anaishiwaa[emoji23] [emoji23]Msanii wa bongo Fleva Alikiba amemshushia tuhuma nzito meneja wa msanii mwenzie Diamond platnumz maarufu kama Sallam.
Akizungumza na clouds FM katika kipindi cha xxl, alikiba amezumgumza kwa huzuni sana kwamba Sallam ndiye aliyehusika kufitinisha yeye kupokonywa maiki katika jukwaa hilo
Anasema wakati akiwa jukwaani alimuona sallam chini ya jukwaa, hivyo huenda amehusika moja kwa moja katika fitna hiyo.Anasema kama hawana bifu meneja huyo alikwenda Mombasa katika show hiyo kufanya nini?
Haya yamekuja baada ya Alikiba kuperform nyimbo mbili tu na kuzimiwa maiki na kupandishwa msanii mwingine Chriss brown.
Je , tuhuma hizi zinaweza kuwa na ukweli wowote?
Anahaki ya kuzungumza dunia ya sasa yenye ushindani mkali hupaswi kumuamini mtu yangetokea ya papa wemba nani angewajibika kama msanii wako hayupo we unafatanini nyuma ya jukwaaNashindwa kumshangaa Kiba na washabiki wake, anaonesha live anajipambanisha na mtu anaejua hamuwezi, sasa kumuhusisha Sallam na kuzimwa mic;
Kweli mic ilizimika, ikawaje ashuke jukwaani? haikuwa kazi rahisi kuchukua mic nyingine tu aendelee kuperform?
Sio nzuri hyo kama taifa tunapaswa kuwa wamoja hasa tunapokuwa kwenye uso wa watu wa mataifa mengine kauli nyingine ni za kuharibiana.
CONFERMED: KIBA ana bifu na Diamond
Salam n mdau mkubwa sana kwenye industry ya music both locally and internationally so kuuliza kwann alikua backstage nadhani na swali la kipuuzi,na kumbuka yeye hakua pekee ake backstage if so aliwezaje kufanya kiti kama iyo bwanaaaa aghhh ... kiba ache mambo ya kiswahili akajipangeeeHawa jamaa wote ni wachawi. Kiba ni mchawi hivyo ni rahisi kumjua mchawi mwenzie.
Anyway on serious note ... huyu manager wa Diamond alionekana backstage kwanini??
Kiba katia huruma sana anavyoongea hapo...
Salam alikua anafanya nn back stage wakat alikiba anaperform ?? Ndivo nlivoelewa mimivipi?sielewi mbona?
Ninini! kilimpeleka,huko,mbona yeye hawAfuati kwenye show zake!kwani huko nyuma alitakiwa akae nani?huyo salam alikuwa fundi mitambo??
Na huyo meneja kilichompeleka kwenye iyo show ni nin