Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
Opportunity is unseen. Opportunity is not for granted! Just find it ,look for.Hao wasanii wanatafuta njia ya kutoka........
Na hakuna njia nyingine ya kutoka zaidi ya kuunga mkono juhudi za Rais aliyeko madarakani!
Wanasahau kuwa wanatumika wakati wa kampeni ya Chama tawala na baada ya hapo wanahesasibika kama "toilet paper"
Hii ndio iliyokupa ban?Kesho timu pinzani iko msoga inamtembelea bibi yetu mpendwa
Hii ndio iliyokupa ban?Kesho timu pinzani iko msoga inamtembelea bibi yetu mpendwa
Mods walinitolea ban wakasahau kutoa hako ka avatar kao[emoji23] [emoji23]Hii ndio iliyokupa ban?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si ukatoe sasa!! Ila dah saiv mod wapole kweli...enzi zile lizaboni ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake ila saiv nakula shumbwela tu[emoji39] [emoji39]Mods walinitolea ban wakasahau kutoa hako ka avatar kao[emoji23] [emoji23]
Yule jamaa sijui kapotelea wapi... alikua anakera hadi mtu unatamani upasue simu yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] si ukatoe sasa!! Ila dah saiv mod wapole kweli...enzi zile lizaboni ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake ila saiv nakula shumbwela tu[emoji39] [emoji39]
Mzee baba yule ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake[emoji23] [emoji23] ,saiv itakuwa kashateuliwa maana alikuwa anagombania ateuliwe hata udcYule jamaa sijui kapotelea wapi... alikua anakera hadi mtu unatamani upasue simu yako
NapeMzee baba yule ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake[emoji23] [emoji23] ,saiv itakuwa kashateuliwa maana alikuwa anagombania ateuliwe hata udc
Nape kafanyajeNape