Ali Kiba amtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli nyumbani kwake wilaya ya Chato

Ali Kiba amtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli nyumbani kwake wilaya ya Chato

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba akiwa na kundi wametembela hospital mbali mbali na kuwaona wagonjwa , Kwa kuwa walipita Chato wakaamua kumuona mama Magufuli nyumbani kwake

Kijana Ali Kiba ni miongoni mwa wanamuziki wanaofanya vizuri na wanaotambua kazi ya muziki na umuhimu wake

Safi sana Alikiba umeonyesha picha nzuri kwa vijana na masuperstaa wengine kuwatembelea wazee vijijini
 
Hao wasanii wanatafuta njia ya kutoka........

Na hakuna njia nyingine ya kutoka zaidi ya kuunga mkono juhudi za Rais aliyeko madarakani!

Wanasahau kuwa wanatumika wakati wa kampeni ya Chama tawala na baada ya hapo wanahesasibika kama "toilet paper"
 
Kwanini asijipige selfie akiwa na bibi yake?? Why mama Magu ndo iwe story..???? Kuna kitu anakitafuta....?? Na kwa sababu jamaa anapenda matukio ya sifa sifa, basi atakipata.
 
Hao wasanii wanatafuta njia ya kutoka........

Na hakuna njia nyingine ya kutoka zaidi ya kuunga mkono juhudi za Rais aliyeko madarakani!

Wanasahau kuwa wanatumika wakati wa kampeni ya Chama tawala na baada ya hapo wanahesasibika kama "toilet paper"
Opportunity is unseen. Opportunity is not for granted! Just find it ,look for.
 
Kik tu anatafuta .....ili bwana yule amuite white house!

Ova
 
Mods walinitolea ban wakasahau kutoa hako ka avatar kao[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si ukatoe sasa!! Ila dah saiv mod wapole kweli...enzi zile lizaboni ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake ila saiv nakula shumbwela tu[emoji39] [emoji39]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si ukatoe sasa!! Ila dah saiv mod wapole kweli...enzi zile lizaboni ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake ila saiv nakula shumbwela tu[emoji39] [emoji39]
Yule jamaa sijui kapotelea wapi... alikua anakera hadi mtu unatamani upasue simu yako
 
Yule jamaa sijui kapotelea wapi... alikua anakera hadi mtu unatamani upasue simu yako
Mzee baba yule ndo alinifanya nipewe ban kwa ajili yake[emoji23] [emoji23] ,saiv itakuwa kashateuliwa maana alikuwa anagombania ateuliwe hata udc
 
Sugu ajifunze kwa Ally Kiba!

Wakati Sugu akimtukana Matusi ya sehemu za Siri Huyu Bi Mkubwa tu kwa kuwa kamzaa Rais wa Jamhuri vijana wengine wanaenda kumfariji Huyu Bibi!

Hongera Ally Kiba
 
Hapa kuna shida kubwa naiona kwa Dada yetu Mange Kimambi....
Naanza na fungua semi
....Dada Mange anamchukia Magufuli to the maximum

....Dada Mange anampenda Ali Kiba to the maximum
..................................
Funga semi
.....Dada Mange anaichukia CCM to the maximum + Serikali yake

.....Dada Mange anamchukia Diamond to the maximum
...................
Then what's happening now??
Mange na yeye kumpenda Magufuli au Kumchukia Kiba??
Kuddos Maisha....
 
Kujipendekeza huku, mbona haendi kumtembelea bibi yake kwao Burundi?
 
Back
Top Bottom