Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

Kiba kashazeeka, hana jipya Mziki umemtupa mkono, hii game angewaachia vijana wenye damu changa, ni bora atulie amlee mke wake na familia,..akitaka kushindana na Kasi ya Diamond ataishia kupata pressure na kujidharirisha tu.
 
Ali kiba hili bifu lake na Diamond ndiyo linamfanya kuzungumziwa bila hivyo umaarufu unapotea,kabla ya hili bifu alitoa ngoma mbili ila zilipita kama upepo watu walikuwa washamsahau Ali kiba.
Kabisa mkuu, diamond anakosea sana kumpa kiki huyu, alikuwa kashajifia ghetto kwake huko,Sasa Diamond alivyompa kiki akaona fursa, akaachia na ngoma mpya mshumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Maelezo aliyoyatoa Kiba ameyatoa mdomoni tu moyoni anaumia , angalia hata ongea yake ni ushahidi tosha.

Pia diamond mwaka jana kama sio juzi alifanya show ya fiesta na davido.
sasa mambo ya kumsemea mtu yaliyopo moyoni mwake huo ni uchawi usio na uhalisia.
 
Unahadhirika wewe mrembo

Na Mond anawapenda nyie warembo na kujiita 'sukari ya warembo'


Fact kuwa unamwongelea Kiba, maana yake ana kitu


Why hauwataji wengine? Kama hana hela kaja kukuomba? We unazo ngapi hata kiingereza haujui?

Kiba kakutawala, umekuwa mtumwa wa Kiba bila kujijua, mtu ukimwaza, ukamsema, ukamjadili ujue amekutawala.period
You bum it's gonna be better if you shut that thing you call a mouth.

Kuwa mrembo ni sifa moja wapo kati ya sifa kuu za wanawake mshamba wewe.
Mimi ni sehemu ya huyo Mondi

Namuongelea kibamia mwenzako kwa sababu ni competitor wa Simba siwataji wengine kwa kuwa hawana shobo kama alizonazo mchambaji mwenzako kibamia

Ninazo za kutosha sijaamua tu kuzimwaga kipuuzi kama wewe unayechangia lijamii forum.

Kiingereza we unakijua mshamba wewe?

Kibamia kamtawala mkeo pamoja na wewe sio mimi mamtu kama nyie sijui yanakuwaje donors wa JF babaako kafie mbali
 
As a fan of Kiba nashindwa kumuelewa kabisa king anafanya nn.. amepanic, ameshindwa ama? alivyotoa ngoma ya aje mafans wake tulifurahi sana maana ilikuwa ngoma iliyokubalika kila sehemu ila baada ya hapo amekuwa ni mtu wa kutoa nyimbo za kawaida sana hazikai kwenye chart muda mrefu.. namuona yupo focussed sana na diamond kiliko kujiangalia yeye mwenyewe amekuwa ni mtu wa matamko na mambo mengi mtandaoni kuliko kutoa hits.. ajiangalie sana King anakwama wapi au kama vp aache mziki afanye mambo mengine atapokewa tu maana anapendwa na watu wengi.. am not really a fan of Diamond na wala siyo mpenzi sana wa nyimbo zake but i respect him fo hussling anawainspire sana vijana wengi watafutaji japo wengi wa fans wake hawajitambui ni watu wa majungu na bata sana
 
Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
Wewe ndio uache unafiki yaani daimond amzingue mwenzake nakuzima mkate wake halafu achekewe tu
 
Wewe na Ally nani ana maisha mazuri?Nani anajulikana?Kasema hataki mazoea so msimzoee mkomeee
 
Nenda insta halafu kama unajua muziki na maisha basi unaushaidi
Nimekudharau Sana we dada nilifikiri una akili kumbe na wewe ni wale wale kwahiyo na wewe ni mshirikina ndo maana wenzako unawaona washirikina.
 
Nimekudharau Sana we dada nilifikiri una akili kumbe na wewe ni wale wale kwahiyo na wewe ni mshirikina ndo maana wenzako unawaona washirikina.
Hivi wewe mpaka uwe mshirikina ndio uone yanayotendeka ??
Mkuki kwa mguruwe ni mtamu sana ila kwa binadamu ni mchungu .
Ebitoke ni hivi alimchukua mme wa mama ashura kiroho safi ila aliona sawa mwenzie kupigwa kudhihakiwa na kupewa attention naameona kununuliwa magari na kuwekea vitu vya dhamani kwa jasho la mtu mwingine ni powa .
Sasa leo nihivi kapewa alichovuna asishangae kama kila mwanaume atamfanyia hivyo mpaka atubu nakumuomba mama ashura msamaha .
Sasa leo ni hili hata daimond kama aemchukua chamtu malipo ni hapa hapa na machozi yatalipwa ni muda tu ndio utachukua .
Ila kama hajachukua cha mtu na wla hakuna machozi kumwagika kisa yeye basi atabarikiwa na maisha yatasonga.
Watu husema silazima umtambue rafiki mnafiki bali matendo yake tu yataonyesha .
Jifanye mnafiki kama wengine.
Sikujibu tena.
 
Alafu asichokijua Ali kiba ni kuwa tokea hili beef lianze naona anaenufaika na hili beef ni diamond
 
Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
 
Back
Top Bottom