Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

goodlif1600

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
805
Reaction score
877
Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo

Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli huyu mwamba ni zawadi acha tuenjoi mziki mzuri, najua wapo wanaomchukia lakini naamini wengi ni masuala personal ambayo hayawezi kuangazia kipaji cha kuimba mziki.

Sitaki kuamini mtu yeyote mwenye akili timamu anayependa muziki akanambia hapendi uimbaji wa uyu mwamba, huyo atakua mchawi.

1624357846167.png
 
Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Sawa mkuu lakini huu wa Sasa tunaita mziki wa "kizazi kipya" kwaio Hawa tulionao ndo inabidi tuwape masikio yetu tuwasikilize japo Mimi pia naamini hawawezi kuwa na uwezo Kama hao wanamziki uliowataja hapo juu
 
Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Lakini si ndo wamekupa ajira hao?
 
Alikiba alishafika wenzake bado wana ndoto kubwa.

Imagine, nilimsikia Killy anasema hawakuwa na mikataba yoyote na kwamba Kings ni kama chuo.

Kwahiyo pale Kings ni mlundiko tu wa wasanii ambao Kiba akijisikia ndio anaimba nao au wanamshirikisha, ila Kiba hapendi kuwagharamikia sana kwasababu haiendeshi Kings kibiashara.

Kama kuna kitu ningemshauri Kiba nikikutana naye, ni yeye kutafuta manager wazuri ili aiendeshe Kings kibiashara.

Kings kuna wasanii wazuri halafu bado wapya wanaotakiwa kutoa ngoma nyingi ili wajenge fan base, lakini Kiba anawaacha tu hata mwaka mzima bila kazi yoyote serious utafikiri na wao wameshakuwa na jina kubwa kama yeye.
 
Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Umejuaje ni washirikina au ni mmojawapo
 
Ali ana kipaji, kuanzia sauti. Nyimbo zake ni za staha mnaweza kusikiliza hata ukiwa na wakwe zako. Hafanyi copy and paste na nchi nyingine.

Sasa ukae na wakwe zako msikilize mziki?
 
Kwani wanaotumia nguvu wanafanya vp...?
Au ndo wale wanashinda Gym...?

Naona kila siku mnatafuta neno jipya la kumtofautisha Alli aonekane tofauti, mlisema nyimbo zake hazina matusi, mala hapendi show off, mala oooh cjui nn, leo mmekuja na hili hatumii nguvu, naomba sifa ya hao wasanii wanaotumia nguvu.
 
Kiba yupi? Mbona anaburuzwa mpaka na Zuchu?...
Chukua huu mfano, huku mtaani kuna watu wanavipaj vya kusakata kabumbu pengine zaidi ya hata kina Messi na Ronaldo? Unajua kwanini hawasikiki? Jibu ni kwa vile hawatumii nguvu

Kiba ni wasted energy, kipaji bila jitihada!
 
Back
Top Bottom