Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaAli ana kipaji, kuanzia sauti. Nyimbo zake ni za staha mnaweza kusikiliza hata ukiwa na wakwe zako. Hafanyi copy and paste na nchi nyingine.
Mifano yako ni ya kijima(kijinga)Kiba yupi? Mbona anaburuzwa mpaka na Zuchu?...
Chukua huu mfano, huku mtaani kuna watu wanavipaj vya kusakata kabumbu pengine zaidi ya hata kina Messi na Ronaldo? Unajua kwanini hawasikiki? Jibu ni kwa vile hawatumii nguvu
Kiba ni wasted energy, kipaji bila jitihada!
Nguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya AlikibaHuyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo
Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli huyu mwamba ni zawadi acha tuenjoi mziki mzuri, najua wapo wanaomchukia lakini naamini wengi ni masuala personal ambayo hayawezi kuangazia kipaji cha kuimba mziki.
Sitaki kuamini mtu yeyote mwenye akili timamu anayependa muziki akanambia hapendi uimbaji wa uyu mwamba, huyo atakua mchawi.
na mimi nimeshangaa kixnge... ile promo ya mange kwa kiba ingemkuta mtu anayejielewa km konde au zuchu, angekuwa mbali sanaNguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya Alikiba
Kuna moja yupo na Godzilla aliumiza Sana umo ndani . recently hii yupo na darasa aisee uyu mwamba anajua aiseeHasa kwenye kiitikio huwa ni mnoma,kuna ngoma moja kashirikishwa na mwana fa kwenye kiitikio,hakika King ni fundi sana.
Huu ushauri mzuriAlikiba alishafika wenzake bado wana ndoto kubwa.
Imagine, nilimsikia Killy anasema hawakuwa na mikataba yoyote na kwamba Kings ni kama chuo.
Kwahiyo pale Kings ni mlundiko tu wa wasanii ambao Kiba akijisikia ndio anaimba nao au wanamshirikisha, ila Kiba hapendi kuwagharamikia sana kwasababu haiendeshi Kings kibiashara.
Kama kuna kitu ningemshauri Kiba nikikutana naye, ni yeye kutafuta manager wazuri ili aiendeshe Kings kibiashara.
Kings kuna wasanii wazuri halafu bado wapya wanaotakiwa kutoa ngoma nyingi ili wajenge fan base, lakini Kiba anawaacha tu hata mwaka mzima bila kazi yoyote serious utafikiri na wao wameshakuwa na jina kubwa kama yeye.
Hasira za nini Sasa ?Kiba yupi? Mbona anaburuzwa mpaka na Zuchu?...
Chukua huu mfano, huku mtaani kuna watu wanavipaj vya kusakata kabumbu pengine zaidi ya hata kina Messi na Ronaldo? Unajua kwanini hawasikiki? Jibu ni kwa vile hawatumii nguvu
Kiba ni wasted energy, kipaji bila jitihada!
Ila watu mnamchukia Sana alikiba.uko mbali unaposema ni wapi?na mimi nimeshangaa kixnge... ile promo ya mange kwa kiba ingemkuta mtu anayejielewa km konde au zuchu, angekuwa mbali sana
Zuchu mpk uku upo?"thuchu ni mkali kuliko kiba"
Paka mate niteleze kama nyoka pangoniAlikiba ni inborn talent...no dought about that.
Kazi zake unasikiliza muda wowote..hawa wengine ni za kusikiliza ukiwa umelewa ukiwa bar.
Yaaan wee comment yako usipotaja ushoga, mmmmhTanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Kiboko YanguHasa kwenye kiitikio huwa ni mnoma,kuna ngoma moja kashirikishwa na mwana fa kwenye kiitikio,hakika King ni fundi sana.
Bibi umetisha sana yaan.Ali ana kipaji, kuanzia sauti. Nyimbo zake ni za staha mnaweza kusikiliza hata ukiwa na wakwe zako. Hafanyi copy and paste na nchi nyingine.
Zuchu ana mziki gani? Hizi taarabu zake au?Good music=Kiba
Popular music= Mondi, Zuchu...
Leo jiandae kuanzia SAA 3 usiku nitakua na jambo na wee. Na usikimbie plz.Nguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya Alikiba
Hatumii nguvu nyingi lakini anataka kuonekana yupo juu kuliko nasibu...Huwezi kuvhna usichokipanda...kwakuwa hatumii nguvu nyingi ndio maana nasibu kampita kila kitu licha ya kumtangulia ktk game.Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo
Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli huyu mwamba ni zawadi acha tuenjoi mziki mzuri, najua wapo wanaomchukia lakini naamini wengi ni masuala personal ambayo hayawezi kuangazia kipaji cha kuimba mziki.
Sitaki kuamini mtu yeyote mwenye akili timamu anayependa muziki akanambia hapendi uimbaji wa uyu mwamba, huyo atakua mchawi.