Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

Hatumii nguvu nyingi lakini anataka kuonekana yupo juu kuliko nasibu...Huwezi kuvhna usichokipanda...kwakuwa hatumii nguvu nyingi ndio maana nasibu kampita kila kitu licha ya kumtangulia ktk game.
"kampita Kila kitu" utakua una stress zinakusumbua aisee.alafu uyo msanii wenu amemkuta kiba na atamuacha kwenye hii game na alivyoanza kusample nyimbo za watu lakini bado hazieleweki mtabaki mnashabikia maisha yake itafika mahala mtachoka muda ndo utaongea .let us wait
 
Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Marijani Raajabu Marijani alikuwa ananikosha sana siyo tu kwa uimbaji wake bali hata kwa tungo zake! Ingewezekana mwenyezi Mungu atutelemshie Marijani mwingine.

Nyimbo kama Georgina, Salama, Mwanameka, Mayasa na nyhinginezo zilikuwa kali sana hata bkama walikuwa na vyombo hafifu sana wakati.
 
Back
Top Bottom