goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Sawa mkuu lakini huu wa Sasa tunaita mziki wa "kizazi kipya" kwaio Hawa tulionao ndo inabidi tuwape masikio yetu tuwasikilize japo Mimi pia naamini hawawezi kuwa na uwezo Kama hao wanamziki uliowataja hapo juuTanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Lakini si ndo wamekupa ajira hao?Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Hakuna anaelazimisha Ivo ndivyo ilivyoUzi hautembei,kuna mtu analazimisha kupendwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ali Kiba ni msanii bora kuliko jamaa yenu wa kukopi na kupest nyimbo za kinigeria. PeriodUzi hautembei,kuna mtu analazimisha kupendwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umejuaje ni washirikina au ni mmojawapoTanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Ali ana kipaji, kuanzia sauti. Nyimbo zake ni za staha mnaweza kusikiliza hata ukiwa na wakwe zako. Hafanyi copy and paste na nchi nyingine.
Kwani sheria inasemaje?Sasa ukae na wakwe zako msikilize mziki?