Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

Nguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya Alikiba
 
Nguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya Alikiba
na mimi nimeshangaa kixnge... ile promo ya mange kwa kiba ingemkuta mtu anayejielewa km konde au zuchu, angekuwa mbali sana
 
Hasa kwenye kiitikio huwa ni mnoma,kuna ngoma moja kashirikishwa na mwana fa kwenye kiitikio,hakika King ni fundi sana.
Kuna moja yupo na Godzilla aliumiza Sana umo ndani . recently hii yupo na darasa aisee uyu mwamba anajua aisee
 
Huu ushauri mzuri
 
Hasira za nini Sasa ?
 
Alikiba ni inborn talent...no dought about that.

Kazi zake unasikiliza muda wowote..hawa wengine ni za kusikiliza ukiwa umelewa ukiwa bar.
Paka mate niteleze kama nyoka pangoni
 
Tanzania vipaji viliisha na kina Marijani Rajabu, Nico Zengekala, Cosmas Chidumule, Muhidini Gurumo, Remmy Ongalla. Hamza Kalala na wengine wa aina hiyo, siku hizi wamebaki wabana pua, mashoga na washirikina ndio wanaimba makelele yao
Yaaan wee comment yako usipotaja ushoga, mmmmh
 
Nguvu gani tena!!, nenda tik tok utamuonea huruma Mange Kimambi, sijui kama anapumzika maana.mda wote anapost viclip vya watu wakicheza nyimbo ya Alikiba
Leo jiandae kuanzia SAA 3 usiku nitakua na jambo na wee. Na usikimbie plz.
 
Hatumii nguvu nyingi lakini anataka kuonekana yupo juu kuliko nasibu...Huwezi kuvhna usichokipanda...kwakuwa hatumii nguvu nyingi ndio maana nasibu kampita kila kitu licha ya kumtangulia ktk game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…