Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Waamini dini za kuja na merikebu wana viroja kweli haswa pale wanapo taka eti wewe usie amini ndio uthibitishe porojo zao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu haoni hata aibu, anazidi kujidhalilisha tyuuh.
 
Mwenzako naye kataka uthibitishe kuwa hakijatungwa hicho kitabu ukizotoa hizo Aya, mbna rahisi sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao waislamu kwanini quran wasiweke kwa lugha rahisi ili wote waisome na kuielewa? Wanaficha nn? Wakristo biblia yao iko wazi.
Nani amezaliwa akijua kusoma ? Kila kitu ni kujifunza. Ndiyo maana huna sababu juu ya hilo.

Leo wako wanachuoni wengi kutoka Afrika wamejifunza Kiarabu na Qur'aan Afrika lakini leo hii wanawafundisha Waarabu Kiarabu huko kwao. Sasa usiwe mjinga kujenga hoja ya kijinga wakati ukiamua kujifunza unajua.
 
Usiulize swali la kitoto, jibu swali nililo kuuliza.
Kukujibu swali lako, SINA UWEZO WA KUTHIBITISHA MAANDISHI YALIYOTUNGWA NA BINADAMU YALITUNGWA NA NANI NA LINI. NI KITU AMBACHO HUWEZI IINGIA MAABARA UKAPATA MAJIBU.
HAKUNA JARIBIO LA MAABARA LA KUTHIBITISHA NANI ALIFANYA NINI KWENYE HISTORIA YA BINADAMU.
 
Haya tufafanulie sisi wamakonde ambao hatujui kiarabu
 
Ally Kiba yuko sahihi.
Kila binadamu amezaliwa akiwa ni muislamu safi.
Ila baadhi ya wazazi ndo huwa wanabadili dini watoto zao kwenda upande mwingine.
Hivi ni ipi tafsiri sahihi ya neno "ubatizo"
 
Kwahiyo Uislamu unaruhusu kupiga muziki wa kuwasifia binadamu, huku ukinengua na wasichana waliovaa nusu uchi ?

Kama huo ndio Uislamu basi ni bora abakie nao chumbani kwake.

Mimi kamwe sijawahi kuwa Mwislamu na wala sitokuwa.

Babu yangu mimi ni Mzee Mchapanjia, mtu mweusi wa asili ya bara la Africa.
 
Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Sijali kuhusu comment yako hapo juu.
Ila ningekuwa karibu na wewe ningehakikisha unakufa kifo kibaya sana.
Usingetokwa na damu hata sehemu moja.
Na nisingekuacha hata na alama ya uvimbe mwilini mwako.
Umbwa wewe
 
Uislamu hauna makosa hata kidogo.
Ila sisi binadamu ndo tuna makosa.
Linapotokea tatizo kuhusu Waislamu basi walaumu Waislamu na usiulaumu Uislamu.
Nani katika hii dunia hajawahi kukosea?
Kwani ukristo unaruhusu kuimba?
Na mbona wakristo wanaimba mpaka makanisani?
 
V
Ally Kiba yuko sahihi.
Kila binadamu amezaliwa akiwa ni muislamu safi.
Ila baadhi ya wazazi ndo huwa wanabadili dini watoto zao kwenda upande mwingine.
Hivi ni ipi tafsiri sahihi ya neno "ubatizo"
Vipi na mimi nikiutangazia uma kwamba kwasababu tumeumbwa na Zahanary, basi kila mtu kazaliwa amfuate Zahanary. Kwamba yeyote ambaye anamkana Zahanary ni kafiri na anafata dini zisizo sahihi hivyo ataenda motoni. Unahisi ntakua sahihi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…