Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

bado h

hujajibu nani
Jina lake!
Dah, mimi kweli nikalili majina ya watu walioleta dini yako, sina kipaumbele na hicho kitu.
Ni watu nje ya Tanzania yetu ndio wakwanza kuwa waislamu.
Tumepata dini toka kwao.
Majina ya waislamu nje ya nchi yetu yakariri wewe ukipenda.
 
no evidence
 
Huh!
Sasa unataka kusema watanzania uislamu tumeutoa wapi sasa.
Au unataka evidence ipi 😃
sijui wewe usiniulize mie, mie najua na ushahidi mingi nimekupa, wewe hukunipa hata hoja moja ila inawezekana tu ndio jibu lako. mie nadhani tusibishane sana, hebu fanya tafiti ya dini zote pamoja na theorism ili ujiridhishe. Mungu akuoneshe ukweli ulivyo
 
Wachungaji ni mbwa kwa mujibu wa biblia

Asilimisha wakristo zaidi ya 30 katika mhadhara mmoja nchini burundi

Kati ya paulo na yesu ni nani mwanzilishi wa ukristo?

Christmas hakuna ndani ya biblia

Yesu si Mungu

Sikiliza zote hizo, na nyingi zipo endelea kuzifuatilia upate ukweli
Still Nonsense. Hao waropokaji tu hata mimi naweza kuongea. Hakuna anaezaliwa na dini mtu pekee anaeweza kuniambia kuhusu dini gani bora nikamsikiliza ni mtu aliehama dini moja kwenda nyinginee tena kwa utashi wake sio sababu ya mapenzi. Ila wewe umekuta baba yako muislamu au mkristo na wewe ukafuata hiyo dini bila kuelewa chochote leo ukiongea dini yako bora kuliko nyingine nakuona mwehu.
 
sijui wewe usiniulize mie, mie najua na ushahidi mingi nimekupa, wewe hukunipa hata hoja moja ila inawezekana tu ndio jibu lako. mie nadhani tusibishane sana, hebu fanya tafiti ya dini zote pamoja na theorism ili ujiridhishe. Mungu akuoneshe ukweli ulivyo
Sawa!
Ingawa ukweli upo wazi, Tanzania uislamu tumeupokea. Haukuanzia Tanzania. Sasa sijui unataka evidence gani kuthibitisha kwamba uislamu haukuanzia Tanzania.

Ila, anyway. Kasome zaidi ya kitabu kimoja.
Usiiweke akili yako kwenye boksi kwamba kuna kitabu kimoja cha dini na kung'ang'ania dini kama vile ni kabila lako.
 
Nafikiri yuko sahihi!!
Wakristo wanabatiza watoto kuondoa dhambi ya asili.
Kwa maana hiyo uislam ni dhambi ya asili...?!!!
 
Nafikiri yuko sahihi!!
Wakristo wanabatiza watoto kuondoa dhambi ya asili.
Kwa maana hiyo uislam ni dhambi ya asili...?!!!
Ingawa hayupo sahihi.
Maana waislamu wana shahada.
Ukisema tumezaliwa waislamu unamaanisha hakuna ulazima wa shahada.
Kwamba hata ukimuabudu Krishna na kutomkubali Allah bado wewe ni muislamu tu kitu ambacho si kweli kutokana na mafundisho ya uislamu.
 
Still Nonsense. Hao waropokaji tu hata mimi naweza kuongea. Hakuna anaezaliwa na dini mtu pekee anaeweza kuniambia kuhusu dini gani bora nikamsikiliza ni mtu aliehama dini moja kwenda nyinginee tena kwa utashi wake sio sababu ya mapenzi. Ila wewe umekuta baba yako muislamu au mkristo na wewe ukafuata hiyo dini bila kuelewa chochote leo ukiongea dini yako bora kuliko nyingine nakuona mwehu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.

خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ
Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.

وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
 
Back
Top Bottom