Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ingawa hujui hata maada ni nini, ntakujibu swali lako hivyo hivyo ingawa hujui.

Chanzo cha maada kuna wanao ona ni mantiki kwamba ziliumbwa ni miungu ( theory of creation).

Kuna wanaoona hazikuumbwa bali ulitokea mlipuko mkubwa toka kwenye utupu, point yenye ujazo nene mkubwa na kani mvuto ( theory ya big bang).

Watu asilimia kubwa wamejigawa katika hayo makundi mawili na tupo ambao hatuna kundi kwenye hayo makundi mawili kwasababu yote hayana uthibitisho.
wewe huna hoja kwa maana hiyo. Kwsababu umeshaeleza wapo wanaoamini mungu (kundi la kwanza) ambao hoja tunazo nyingi, kundi la pili (theorism) hawana hoja na kundi la mwisho ni wewe ambao hamjielewi
 
wewe huna hoja kwa maana hiyo. Kwsababu umeshaeleza wapo wanaoamini mungu (kundi la kwanza) ambao hoja tunazo nyingi, kundi la pili (theorism) hawana hoja na kundi la mwisho ni wewe ambao hamjielewi
Wewe ni theorist, huelewi tu kama ni theorist.
Creation ni theory ile. Huna uwezo wa kuithibithisha.
Mr. theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
 
Nani amezaliwa akijua kusoma ? Kila kitu ni kujifunza. Ndiyo maana huna sababu juu ya hilo.

Leo wako wanachuoni wengi kutoka Afrika wamejifunza Kiarabu na Qur'aan Afrika lakini leo hii wanawafundisha Waarabu Kiarabu huko kwao. Sasa usiwe mjinga kujenga hoja ya kijinga wakati ukiamua kujifunza unajua.
Kwan wasiweke kwa lugha ya kiswahili ili watu wa hapa wote waisome na kuielewa, hiv unajua nn namaanisha? Acha kukurupuka nawee khaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni theorist, huelewi tu kama ni theorist.
Creation ni theory ile. Huna uwezo wa kuithibithisha.
Mr. theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
ohoo imebadilika sasa mie ndo theorist, hahaha sio muislam tena basi wewe muislam
 
ohoo imebadilika sasa mie ndo theorist, hahaha sio muislam tena basi wewe muislam
Unaniambia maada imeumbwa bila kunipa uthibitisho iliunbwa lini na wapi.
Wewe ni theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
 
Unaniambia maada imeumbwa bila kunipa uthibitisho iliunbwa lini na wapi.
Wewe ni theorist asiejielewa kama ni theorist 🙂
sijakwambia hivyo, nimekuuliza hiyo mada asili yake ni nini? na mwisho wake ni nini, na kwanini iwepo nipe na unipe vivid evidence
 
sijakwambia hivyo, nimekuuliza hiyo mada asili yake ni nini? na mwisho wake ni nini, na kwanini iwepo nipe na unipe vivid evidence
We jamaa, una elimu gani?
Maada asili yake ni atoms.
Atoms hazina mwisho.
.
Hapa naona tutakesha.
Hii ni elimu ya darasani, naona huna.
Napoteza muda wangu kufundisha vitu vya shule ya msingi.
 
sijakwambia hivyo, nimekuuliza hiyo mada asili yake ni nini? na mwisho wake ni nini, na kwanini iwepo nipe na unipe vivid evidence
Na kingine, jiulize ujiulizavyo utagota tu kwenye swali moja kubwa ambalo haijalishi utatoa jibu gani huwezi kuthibitisha.

Wote tutafika hapa: je kama kuna Allah alitokea wapi na kama aliweza kuwepo kwanini wasiwepo wengine kama huyo Allah unaeambiwa yupo?
Na mimi ntagotea hapa, space na gravity zilotokea wapi?

Kuna sehemu kuhusu vyanzo vya vitu hata wewe huwezi kuthibitisha.
Na ndio sababu huwezi jibu Allah wako katokea wapi.
 
ALLAH anatuambia yeye mwenyewe 'ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chochote kilichofanana na yeye' nipe na wewe ushahidi wa kwako usiulize maswali yangu hujibu
 
Anaelewa kwani mkuu, mimi niliangalia nikampuuza Tu. kuna vitu vingine ni sensitive sana kuviongelea kwa kuegemea upande flani hasa ukiwa public figure.

Mambo ya dini, kabila au siasa ambazo huusisha hisia kali si sawa maana reactions au athari sake huwa hazitabiriki

Sawa umempuuza,,,lakini yuko sahihi💯
 
nonsense.

Wachungaji ni mbwa kwa mujibu wa biblia

Asilimisha wakristo zaidi ya 30 katika mhadhara mmoja nchini burundi

Kati ya paulo na yesu ni nani mwanzilishi wa ukristo?

Christmas hakuna ndani ya biblia

Yesu si Mungu

Sikiliza zote hizo, na nyingi zipo endelea kuzifuatilia upate ukweli
 
Kiba kakaririshwa. Binadamu tunazaliwa bila dini yoyote. Katika Makuzi/malezi ndo tunakutana na dini za wazazi na walezi wetu mfano ukikuta mzazi wako mlokole,mkatoliki,msabato,muislam,mpagan,muabudu mizimu,budha etc nawe unafata huko kisha mbeleni ukiwa mkubwa unaweza kuasi na kufata upendapo

Poleni sana
 
sasa kama havina mwisho mbona vitu vinakufa
Huelewi chochote kuhusu fizikia.
Hii ni kazi ya walimu wako, mimi unanichosha tu kufundisha maada ni nini.

Wala Allah hajasema chochote kile.
Hayo ni maandishi tu ya watu wakidai Allah kasema nini.

Wewe huna uwezo wa kuthibitisha kama huyo Allah yupo na kama kweli alikuambia yeye yupo mmoja, zaidi unanipa maneno ya watu wakidai ni Allah kawaambia 🤦🏾‍♂️
 
watu gani basi nambie wewe
 
Sasa mmeamua kuweka dhana nzito mie itabidi nikae pembeni siwezi kutia langu nawaachia walimu wapate daawa

Back
Top Bottom