Nashukuru kwa kukiri uislam ni dini ya haki, Mungu akuongoze katika dini ya haki, pili russia sio waislam, marekani sio waislam, hitler si muislam, waesraili nao si waislam umeona!!! lakini ukristo unaruhusu kuuwa kwa ubinafsi na kutaka madaraka na mali au wote sawa tu kama hao al-shababu au unaoana raha mmarekani, urusi na wengine wafanye mauwaji ya watu lakini al-shabab na hao wengine ndo wabaya. tatu mie sishabiki mauwaji yoyote kwasababu uislam umekataza kuuwa bila sababu ila kama mmevamiwa mnaruhusiwa kujitetea kama ukraine vile. nne sio kafiri wala mnafiki kwasababu ya mauwaji ya al-shabab au ISIS kwasababu wale hawachagui ktk kuuwa wanaripua hadi miskiti, sikiliza mbona mataifa ya kiislam yapo hata kumwaga damu, juzi tu nchi za kiafrika zilipindua serikali. Kafiri sio matusi ni neno linalomaanisha mtu anaeukanusha uislam (amekufuru). 5:72-73 (quran) inasema 'hakika wamekufuru waliosema: M/Mungu ni masihi mwana wa maryam na hali masihi mwenyewe alisema : enyi wana wa israili muabuduni M/Mungu, mola wangu mlezi na mola wenu mlezi. Kwani anaemshirikisha M/Mungu, hakika M/Mungu atamuharamishia pepo, na mahala pake ni motoni'. Hii inafanana na marko 12:29-31 'yesu akamjibu, ya kwanza ndio hii, sikia israeli, bwana mungu wetu ni bwana mmoja, nawe mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote'. Nadhani umenielewa vizuri