sasa ndo nini? umesoma hadi level gani lakini? samahani lakini kwa kuuliza hivyo, maana hizo ni za mtoto wa nursery hazina mashiko yoyote, yaani tuamini mungu alikuwepo akaondoka, sasa mada za nishati kaziweka nani? na sisi tukifa hizo mada zinatupa nini? kwa nini wengine wagonjwa wengine wazima, wengine wanene wengine wembamba, kwanini tusiwe wanyama sote, kwanini tusiwe gari, kwanini tusiwe jinsia moja tu, kwa kusiwe usiku tu bila ya mchana, kwanini kuwe na jua na mwezi nadhani kimoja si kinatosha, maswali nnayo mengi niulizie kwa hiyo mada ya nishati ikisha unipe jibu.