Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Hata Al-Shababu,wanaikiri sana hiyo Shahada yenu.
Na kwa kwa kukiri kwao huko wanajihesabu ni Waislamu safi.

Hata Majini nao wakiwepo Jini Mahaba, Jini Maimuna na Jini Popobawa wanaikiri hiyo Shahada.
Na wanajihesabu kuwa ni Waislamu safi.
Duuhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Al-Shababu,wanaikiri sana hiyo Shahada yenu.
Na kwa kwa kukiri kwao huko wanajihesabu ni Waislamu safi.

Hata Majini nao wakiwepo Jini Mahaba, Jini Maimuna na Jini Popobawa wanaikiri hiyo Shahada.
Na wanajihesabu kuwa ni Waislamu safi.
mie sitoki povu, nahitaji ujuwe tu, sawa al-shababi wanasema na majini wanasema, si tatizo nilisema kwa dhati au waonekane tu ili uonekane uislam maana urusi wala hasemi hivyo lkn maisha ya watu bado tata ukraine, isitoshe mmarekani aliripua japan (heroshima) hadi wanaozaliwa ni walemavu, adolf hitler kawafanya nini waezrael, m25 wanafanya matukio gani na mmarekani amefanya nini iraq na libya, mi nadhani sio lazima ukariri shahada au nani mzuri au mbaya. Kuhusu suala la majini mie naogopa sana nikiona katika luninga wanaposema na mapepo kwa kondoo wao au wewe huoni? Ushawahi kuona msikitini kufanyika hayo. Sikiliza bro majini wapo imeelezwa ktk quran na biblia ni viumbe kama sisi kuna wazuri na wabaya nao watahukumiwa siku ya mwisho kama sie binadamu ila usitoke povu tafuta elimu ujitathmini.
 
Sawa 2022 ni ya kikristo lakini baada ya kristo ya kiislam imekuja baada ya mtume muhammad kutoka makka kwenda madina kwasababu uislam haukuanza kwa mtume muhammad tangu adam na hawa, hebu angalia ikiwekwa kwa dini kalenda itakuwa vipi. Sie hatujazungumza kuanza kalenda mwanzo ipi. Nikwambie kitu yesu hakuanzisha kalenda, kalenda imeanzishwa baada ya kuondoka yesu unajuwa kwann??? Alikuwa muislam na uislam umeletwa na mungu tangu adam na hawa. Hebu jiulize mussa alikuwa na kalenda?? Daud?? Yohana mbatizaji?? Kwasbb hao ni mitume ya mungu na wote waliukuta uislam, tatizo kila zama mungu alimleta mtume kuja kutukumbusha na kutuonya hasa pale watu wanapokuwa wanapotea. Hope u enjoy
 
Maelezo mazuri ila hauja kubali au kukataa kama ni shiriki au laa?
Ni kisomo cha kuwaomba mababu wakiislam walio kwisha fariki wamuadhibu mtu Fulani au kikundi Fulani kwa makosa yaliyo tokeo.
Hii haina tofauti na wachagga na mila zao za kufanya matambiko
sawa najua umehama mada, acha nikufahamishe ingawa nishakufahamisha mwanzo, halbadir itategemea na nia yako, si shirki kwasababu unamuomba mungu kwa kupitia waja wema. Mfano mungu kwa waja wako wema na kufanya mazuri muhammad, issa (yesu), mussa, daudi, yahya (yohana) utujaalie tupate mvua nzuri na ya salama na uilinde na mabaya na maradhi, hii ni kinga ni halbadir nzuri na si shirki, ila inakuwa shirki kwa wale wameibiwa au wanakinga mali zao na nia zao kuuwa, kumtoa au kumpa adhabu kubwa, sasa ww unauwa mwenzio, hayo ni maamuzi ya mungu au unampa kichaa si vizuri kusoma halbadir hizi. Nadhan umenielewa. Unajua tusiwe na jazba tusomeshane ili tuelewe tupate kujuwa usidanganywe nyeupe ukaambiwa nyeusi.
 
sikiliza ndugu, mungu humteua yeye mwenyewe wa kumfikishia neno lake (mitume na manabii) na pia huchagua mwenyewe wapi atumike hayo ni mamlaka yake huwezi muamulia wewe hata mbu huwezi kumuumba. Sasa maandiko ingekuwa kwa kila mtu na kila nchi si ingekuwa balaa. Kwa mfano jina la yesu katika biblia ya kiswahili ni tofaut na jina la katika biblia ya kiingereza na pia kichina kwasbb halipo moja la asili ambayo sio biblia ni injil alopema yesu ambayo ipo ilishushwa kwa kiebrania ambapo jina la yesu tungetumia hilo sote. Mfano mzuri quran ni moja ulimwengu mzima na mtume muhammad waislam wote jina ni hilohilo. Kuhusu mungu kusema sote tuwe waislam labda tumuangalie yesu. Yeye anatuambia jitieni nira yangu na mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na MNYENYEKEVU wa moyo. Kama yesu alikuwa mnyenyekevu wa moyo basi na sisi pia, neno uislam maana yake ni kujisalimisha/kunyenyekea kwa mungu. Chengine yesu alikuwa anapenda kufundisha ktk masinagogi na hakuwahi na haitotokea kuingia kanisani jiulize wewe mwenyewe why? Sasa synagoge kwa kiswahili cha katika biblia ni msikiti wa wayahudi, it means yesu aliingia na kufundisha ktk msikiti. Kama ni hivyo alikuja kufundisha uislam. Ndio maana sie waislam tunampenda yesu hadi kwa vitendo hatulewi, no kitimoto, tunamuomba mungu km yeye, tunafunga km yeye na mengine mengi hii inatuweka wazi kuwa mitume walikuja kufundisha uislam na ndo lengo la kuletwa mitume kwa uislam ni dini yenye mfumo mzima wa maisha (vipi tunatakiwa tuishi). Zile nilokupa mwanzo za quran mungu anataka sote tuwe waislam na mitume wote waliletwa kufundisha dini moja ila tusome zaidi mafundisho tusibishane ovyo.
Unaona. Unaniambia Mungu huteua manabii.
Kitu ambacho umeandikiwa tu kwenye vitabu.
Huna uthibitisho wowote kama kweli kwenye hivyo vitabu walioandikwa ni manabii wa miungu na kwamba miungu inataka tuwafate hao manabii.
Umeandikiwa na wewe umefata kama yalivyo.
 
basi nipe wewe hayo ya mungu wako pamoja na shuhuda zako zenye kuthibitisha ukweli wako. Sikiliza, hebu jiangalie wewe ulivyo unavuta hewa, una maini, machango, figo umevipata wapi au kakupa nani hivyo? Ilivyoingia corona ulihofu sana usije kukosa hewa na ulimuogopa virus ambae ni mdogo sana kwako kuliko aliekuumba wewe, jiulize corona virus alijiumba mwenyewe? Je mbingu na ardhi kaziweka nani? Hata gari na vyombo vengine yupo alietengeza. Hebu jiulize kwanini utakufa ili iwe nini? Lazima kuna utaratibu utakaofata badae. Unaponunua gari au chombo cha moto yupo msimamizi atakupa catalogue it means humo mna taratibu zote za chombo hicho. Na sisi hapa ulimwenguni lazima tuwe na catalogue kutoka kwa yule aliyetuumba ili tujuwe uataratibu wote wa kuishi, mfano wewe unaishi kama mnyama hujui hata catalogue yako, unakula tu ilimradi ule wakati gari unaambiwa weka petrol au dizel. Ikifika muda fanya service wewe huyajui hayo. Sasa mungu baada ya kutuumba akaleta vitabu kama catalogue kwetu na wasimamizi ni mitume kama wasimamizi wa hizo catalogue. Kwahivyo ni muhimu kusoma catalogue (vitabu) mana ukibugi tu umeharibu utaratibu wa chombo, na lazima uwe makini mana isijekuwa chombo chako spacio ukapewa ya scania. Sijui umenielewa na mifano nilokupa. kama bado mungu akuongoze uijuwe haki. All ze best
 
Sina aya za kukupa mimi sio mtu wa imani.
Siwezi kuthibitishia kuna miungu mingapi, hakuna anayeweza kuthibitisha.
Ingawa ni kweli upo uwezekano miungu ilikuwepo ikatuumba na kisha ikatoweka yote.
Upo pia uwezekano miungu haijawahi kabisa kuwepo, kuna muingiliano tu wa maada na nishati ulimwenguni.
Pia upo uwezekano miungu ilikuwepo ikatuumba lakini haijali chochote kuhusu binadamu.
Kibaya hakuna wa kuthibitisha chochote, hivyo zimebaki tu nadharia.
 
sasa ndo nini? umesoma hadi level gani lakini? samahani lakini kwa kuuliza hivyo, maana hizo ni za mtoto wa nursery hazina mashiko yoyote, yaani tuamini mungu alikuwepo akaondoka, sasa mada za nishati kaziweka nani? na sisi tukifa hizo mada zinatupa nini? kwa nini wengine wagonjwa wengine wazima, wengine wanene wengine wembamba, kwanini tusiwe wanyama sote, kwanini tusiwe gari, kwanini tusiwe jinsia moja tu, kwa kusiwe usiku tu bila ya mchana, kwanini kuwe na jua na mwezi nadhani kimoja si kinatosha, maswali nnayo mengi niulizie kwa hiyo mada ya nishati ikisha unipe jibu.
 
mie sitoki povu, nahitaji ujuwe tu, sawa al-shababi wanasema na majini wanasema, si tatizo nilisema kwa dhati au waonekane tu ili uonekane uislam maana urusi wala hasemi hivyo lkn maisha ya watu bado tata ukraine, isitoshe mmarekani aliripua japan (heroshima) hadi wanaozaliwa ni walemavu, adolf hitler kawafanya nini waezrael, m25 wanafanya matukio gani na mmarekani amefanya nini iraq na libya, mi nadhani sio lazima ukariri shahada au nani mzuri au mbaya. Kuhusu suala la majini mie naogopa sana nikiona katika luninga wanaposema na mapepo kwa kondoo wao au wewe huoni? Ushawahi kuona msikitini kufanyika hayo. Sikiliza bro majini wapo imeelezwa ktk quran na biblia ni viumbe kama sisi kuna wazuri na wabaya nao watahukumiwa siku ya mwisho kama sie binadamu ila usitoke povu tafuta elimu ujitathmini.
Sasa unalaumu nini tena.
Hao mafundi wa kuiimba Shahada kama:

Al-Shababu na Majini wanaikiri hiyo Shahada na wanakuwa Waislamu safi.
Nini tatizo sasa.

Ukiwahoji Al-Shababu wao wanasisitiza kuwa wanafanya Uislamu unavyotaka.
Kuipigania Dini kwa jasho na damu dhidi ya wanaowaita Makafiri hadi waitawale dunia.
Sio nyie waislamu waoga, mnasubiri wao waiteke nchi flani halafu nyie muende kujenga misikiti bila kutoa jasho lolote, waumini mnaotaka dezo dezo tu.

Majini nao vile vile, wanasema wao ndio Waislamu safi kabisa, na wakisikia mtu au jini anasoma Qurani kwa sauti nzuri ya kuimba basi wanafurahi sana sana na kuikonga mioyo yao, hapo jini Maimuna huwa anayumba yumba kwa furaha.

Hapa mimi nazungumza ukweli kama unabisha nenda YouTube bofya
"interviw with Al-Shabab"
utawasikia wanavyo jitanabaisha kuwa wao ndio haswa waislamu safi kabisa, wanaupigania Dini usiku na mchana bila kukata tamaa wala kuchoka.

Huo ndio Uislamu sasa sijui kwanini hujisikii vizuri ukiambiwa hivyo.
 
Mbona mgumu kuelewa, ndio wanasema lakini mioyo yao safi? Uislam umeharamisha kuuwa bila ya sababu maalum (kama hujaelewa hutanielewa tena). Kuhusu majini umefanya ukomedi (well done)
 
Unaona. Unaniambia Mungu huteua manabii.
Kitu ambacho umeandikiwa tu kwenye vitabu.
Huna uthibitisho wowote kama kweli kwenye hivyo vitabu walioandikwa ni manabii wa miungu na kwamba miungu inataka tuwafate hao manabii.
Umeandikiwa na wewe umefata kama yalivyo.
leo umenipa swali dogo sana, acha nikupe uthibitisho, quran 83-86) Mungu anasema hivi 'Na hiyo ndio hoja yetu tuliyompa Ibrahim juu ya watu wake, tunampandisha cheo tumtakae. Hakika Mola wako ni mwenye hikma wa yote, mjuzi wa yote. Na tukamtunukia is-haka, na yakub. Wote tukawahidi. Na nuh tulimhidi kabla. Na katika dhuria wake daud, na sulaiman, na ayub, na yussuf, na mussa, na harun. Na hivyo ndivyo tulipavyo wafanyao ihsan. Na zakaria, na yahya, na issa na ilyas. Wote ni miongoni mwa swalihiina. Na ismail, na alyasa na yunus, na luti. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu'.

Quran (16-35) mtoto (issa) akasema, hakika mimi ni mtumwa wa M/Mungu. Amenipa kitabu, na amenifanya nabii'.

Quran (suratul imran), umeteremshiwa wewe, muhammad, hii quran yenye kukusanya ukweli wa misingi yote ya sharia ya mbinguni iliomo katika vitabu vilivyotangulia. Na hakika kabla ya quran M/Mungu alikwisha teremsha taurat kwa mussa, na injil kwa issa.
 
Mungu alinionesha haki kwa kukataa nisizaliwe muislam
we mgonjwa au umekunywa petrol? Unarudi nyuma wakati watu wako mbali sana, kwani hukumuelewa kiba? Acha nikukumbushe alisema 'kila binadamu ( yaani na wewe pia) anazaliwa muislam ikisha akifikia umri flani wazazi wake humbadilisha kulingana na dini walizonazo wao. Ali kiba alisema mtu akizaliwa lakini ukweli zaidi tangu tunaumbwa na Mungu tayari waislam soma page za nyuma zitakusaidia. Pili unaijuwa haki au ndo umo katika mkumbo tu na wewe. Mungu anatwambia katika maandiko yake 'hakika dini ya HAKI mbele ya Mungu ni uislam' na wewe nipe andiko katika kitabu chako linalosema dini ya haki ni xxxx.
 
Mbona mgumu kuelewa, ndio wanasema lakini mioyo yao safi? Uislam umeharamisha kuuwa bila ya sababu maalum (kama hujaelewa hutanielewa tena). Kuhusu majini umefanya ukomedi (well done)
Nimefanya ukomedi wapi tena pataje.
Al-Shabab kamwe hawaui bila sababu maalum.
Mabom yote wanayo jilipua na kuchinja binadamu kwa jina la Allah wana sababu thabiti kabisa.

Kusimamisha Dola ya Kislamu duniani.

Waislamu wa kweli wote wanawasifu na kuwaunga mkono kwa wazi au kimya kimya kama wewe.
Wakisha shinda na kusimamisha dola ya Kiislamu utakuwa wa kwanza kuwapongeza.
Sasa hivi unazuga tu.
Kuna mwislamu yoyote atachukia kama uislamu utatawala dunia ?

Wacha unafki wewe.
 
we mgonjwa au umekunywa petrol? Unarudi nyuma wakati watu wako mbali sana, kwani hukumuelewa kiba? Acha nikukumbushe alisema 'kila binadamu ( yaani na wewe pia) anazaliwa muislam ikisha akifikia umri flani wazazi wake humbadilisha kulingana na dini walizonazo wao. Ali kiba alisema mtu akizaliwa lakini ukweli zaidi tangu tunaumbwa na Mungu tayari waislam soma page za nyuma zitakusaidia. Pili unaijuwa haki au ndo umo katika mkumbo tu na wewe. Mungu anatwambia katika maandiko yake 'hakika dini ya HAKI mbele ya Mungu ni uislam' na wewe nipe andiko katika kitabu chako linalosema dini ya haki ni xxxx.
Na kiba wote wajinga.
 
sasa ndo nini? umesoma hadi level gani lakini? samahani lakini kwa kuuliza hivyo, maana hizo ni za mtoto wa nursery hazina mashiko yoyote, yaani tuamini mungu alikuwepo akaondoka, sasa mada za nishati kaziweka nani? na sisi tukifa hizo mada zinatupa nini? kwa nini wengine wagonjwa wengine wazima, wengine wanene wengine wembamba, kwanini tusiwe wanyama sote, kwanini tusiwe gari, kwanini tusiwe jinsia moja tu, kwa kusiwe usiku tu bila ya mchana, kwanini kuwe na jua na mwezi nadhani kimoja si kinatosha, maswali nnayo mengi niulizie kwa hiyo mada ya nishati ikisha unipe jibu.
Mimi nimekupa nadharia tatu hapo tofauti.
1. Miungu ilikuwepo (existed) kisha ikatoweka ( stopped existing).
2. Miungu haikuwahi kuwepo kabisa, tangu mwanzo kuna nishati tu na maada. ( Big bang theory).
3. Miungu ilikuwepo ila haijali chochote kuhusu binadamu wanaishije.
.
Nilikwambia huo ni uwezekano uliopo na kwa lugha nyingine huo uwezekano unaitwa nadharia(theory). Sijui level yako ya elimu haijui kuhusu uwezekano (nadharia)🤔.
Wewe unasema ni level ndogo ya elimu mtu kujua nadharia nyingi.
Sasa wewe unajua nadharia moja tu, ya " creation in Abrahamic religions", alafu unajiona msomi kwamba anaesoma zaidi ya moja ni mjinga na kwamba wewe uliyeweka akili kwenye boksi ndiyo genius 🤦🏾‍♂️
Au hata hujui kama imani yako kwa mungu ni moja ya nadharia kwasababu wengine huwezi kuwathibitishia wasio na imani kama yako mr. Genius.
 
Back
Top Bottom