Ali kiba anavyofanana na Jakaya Kikwete

Rudi shule somo la kiswahili rahisi sana.
Mkware -Mzinzi
Mkwere-kabila
Mkuu unadhania watu wote tumespecialize kwenye kiswahili , kiswahili nakitumia tu kama lugha ya mawasiliano aisee, kwan angesema mzinzi nisingeeleewa , acha kukakariri kwamba mtu asipoweza kutofautisha hayo maneno kuwa hajaenda shule, shwain kabisa ww elim yako haijakusaidia ndio mana unafikiria upumbavu tuuu
 
Sawa mburula umeelewa somo lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…