simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Abdul kiba kawa mwarabu fighter kwa kaka yakeAlikiba ni mbinafsi huyo... kashindwa kumuiniua hata mdogo wake abdul kiba ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdul kiba kawa mwarabu fighter kwa kaka yakeAlikiba ni mbinafsi huyo... kashindwa kumuiniua hata mdogo wake abdul kiba ...
mweeee!Niweke za kwako?
Rudi shule somo la kiswahili rahisi sana.Alikiba mkwere tena duuh!!!!!
Mkuu unadhania watu wote tumespecialize kwenye kiswahili , kiswahili nakitumia tu kama lugha ya mawasiliano aisee, kwan angesema mzinzi nisingeeleewa , acha kukakariri kwamba mtu asipoweza kutofautisha hayo maneno kuwa hajaenda shule, shwain kabisa ww elim yako haijakusaidia ndio mana unafikiria upumbavu tuuuRudi shule somo la kiswahili rahisi sana.
Mkware -Mzinzi
Mkwere-kabila
Sawa mburula umeelewa somo lakini.Mkuu unadhania watu wote tumespecialize kwenye kiswahili , kiswahili nakitumia tu kama lugha ya mawasiliano aisee, kwan angesema mzinzi nisingeeleewa , acha kukakariri kwamba mtu asipoweza kutofautisha hayo maneno kuwa hajaenda shule, shwain kabisa ww elim yako haijakusaidia ndio mana unafikiria upumbavu tuuu
Wa kwele siyo Wa kwareInahusiana vipi?huyo dogo mpk hapo alipo anatumia jina la kakake kuishi mjini.
JK na kiba wanafanana kweli si kidogo na wote wakware.
Mkuu mashambulizi unayaweza maana naona umenianza mwenyewe ntakufumishia matus humu hadi ujione choo nyambaf wwSawa mburula umeelewa somo lakini.