kumbe nawe team kiba nikajua team domookey sawa tu
mkuu sina timu mimi nawaekaga wote mradi aimbe anifurahishekumbe nawe team kiba nikajua team domo
Waswahili mna mambo sana, mtu akiwa bize na mambo yake mnamuta mwenye kibri na dharau....Alikiba kutosalimia mtu siwezi kushangaa ni msanii mwenye kibri na dharau sana....
After all timu zao hazina VIWANJA.mkuu sina timu mimi nawaekaga wote mradi aimbe anifurahishe
halafu washangiliaji wana matusiAfter all timu zao hazina VIWANJA.
Balaa.halafu washangiliaji wana matusi
Mkonyo ndio nini?Msanii kuzoeleka sana huko ni kujishushia thamani, kwa hilo namuunga mkonyo
Leo umekosa pesa ya viroba nini?Msanii kuzoeleka sana huko ni kujishushia thamani, kwa hilo namuunga mkonyo