Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

Huo mtaa wao una nyumba ngapi? wakazi wangapi? Kwa siku mtu unatakiwa kusalimia majirani wangapi? Asubuhi wa ngapi? Na jioni wa ngapi? Vipi na wao huwa wanamsalimia? Hivi Juma (necha) anasalimia Majirani zake?
 
Msanii kuzoeleka sana huko ni kujishushia thamani, kwa hilo namuunga mkonyo
 
Basi poa,maana kwa sasa tumeshajua kuwa umetoka kwa maza K/koo umeenda kupanga TBT.
 
Mambo mengine umbeya tu
Kwani lazima awachekee ili wamuone mwema? Wabongo kwa kutafuta vineno vya kijinga bhana
 
Hawa celebrities wetu nao wanapenda vitu rahisi,kuwa celebrity si kitu cha mchezo ni lazima uwe makini kwa kila jambo ili kulinda status yako,sasa wewe celebrity wa level ya Kiba halafu unaishi Tabata kimanga,sijui mawenzi au kisukulu,how?
Nenda Kinyerezi,kigamboni kwenye maploti makubwa ujenge li mansion lako au basi kaishi Masaki/Oysterbay basi,agrr!
 
Back
Top Bottom