Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Hongera bro japokuwa baadhi yao bado wanakubeza ila usijali hao tunawajua coz washachambuliwa na bwana netanyahu
 
wengine wanasema tuzo za vichochoroni, wengine wanasema chibu kachukua mwaka jana.. doh! kweli mondi aliimba binadamu wabaya
 
Hivi ali kiba anajua kupiga hilo hitaa alilobeba au mbwembwe tu?
 
Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…